Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Status
Not open for further replies.
Lumumba mpowapi mje kujibu hoja hii nzito.

hamna hoja hapa, mtoa mada jana alituletea habari ya uongo UVCCM wamekanusha kuna haja ya kumuamini tena mtu huyu...?! labda mods wafuatilie na kuhakikisha kama kweli kutakuwa na huo mkutano otherwise source ni yeye mwenyewe ambaye jana tu alitudanganya ,,, ngumu kumuamini huyu ...

huyu J.makamba kazidi Amuombe msamaha kipenzi chetu Dr. JK kwanza ndio tujitoe kimasomaso kumtetea kama kweli anaonewa ...
 
Kuna watu wachache wanatumia JF kama sehemu ya kuchafuliana majina.

Kwa hiyo Mtaliano anakwenda kukiri kwamba alitoa rushwa?

Tusubiri kesho "Mtaliano afungwa mdomo kaongwa mamilioni ya dola".
 
hawez fanya hivyoo hata kama uelewa wake ni darasa zero,,,ubaroz wake atauwambia nn kabla ya kupanda jukwahan,,,,msitufanye pimbi,,huwez toka njee ukahitasha mazungumzo na waandishi wa habari kuongelea nchi na serikali,,,,huo ni ukolon wa carne ya 16.Acha kudanganya umma
 
Tokea jana January na rafiki yake Ruge wapo chimbo wanapanga jinsi ya kupangua Mawe ambayo Safari hii yatakuwa magumu kupanguliwa
ANGALIZO
tujiandae kuwa disappointed maana kwa jinsi mambo yalivyo sioni namna ya huyo mzungu kufanya huo mkutano. watu wapo chimbo saa hizi wanafanya kila njia kuhakikisha hilo jambo halitokei na hakika halitotokea na hata likitokea basi sio kama ambavyo watu wanatarajia. Le Makambazzzz ana mengi sana ambayo endapo atawekwa pembeni basi anaweza kuyaweka hadharani na asiwe na chochote cha kupoteza. This is Tanzania, the rotten country
 
Ninasubiri hiyo kesho kama sio fix tu hizi............maana j3 huwa naichukiaga kukimbizana na daladala ila hii ya kesho naiona kuchelewa,
 
Mkuu hupo sehemu gan Hyatt mezza 8 au palm hta mm npo hapo now kama kweli ngoja tuone hayo maigizo hpo kesho
 
kuna watu humu ndan nlihis elimu zao toka vyuo vlivyotamba kwa elimu nzuri nao watakuwa wazuri,,,kumbe kentoz tuuu!!!hlii taifa tunajisifu tunaendelea kielimu wakati wenye hiyo elimu toka vyuo vikubwa hapa nchin hajaelimika ,,,kuna umuhimu vjana tukasahau kupokea viatu vikubwa serikalin kwa mwendo huuu wa kuchambua mambo kwenye mitamndao,,,,ninacho hisii hii jamii forum kuna mada znatumwa kwa lengo la kukuza hii blog,,tafakari sana vjana wenzangu
 
Watakuwa wamempatia ahadi ya pesa zake au kitisho na wamemuomba aende kuwasafisha. Ila kuna kitu lazima January kamtumia watu wamtishie maisha asipoongea na media kukanusha. This is fishy sababu kwenye audio amesema na alijua snaishi wapi na kuwa hotelini hawezi kutoka madeni.

Let's pray for our Italian friend.
 
ANGALIZO
tujiandae kuwa disappointed maana kwa jinsi mambo yalivyo sioni namna ya huyo mzungu kufanya huo mkutano. watu wapo chimbo saa hizi wanafanya kila njia kuhakikisha hilo jambo halitokei na hakika halitotokea na hata likitokea basi sio kama ambavyo watu wanatarajia. Le Makambazzzz ana mengi sana ambayo endapo atawekwa pembeni basi anaweza kuyaweka hadharani na asiwe na chochote cha kupoteza. This is Tanzania, the rotten country
mtaleta mada na kuzpangua wenyewe ,,,ila mnajitaidi kucheza na akili za watu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom