Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huyo muitaliano muangalieni vizuri asije akafanana na jina la hiyo hotel kabla ya hiyo kesho. Kitumbua cha mtu kukitia mchanga si rahisi hivyo.Niko hapa Hyatt saizi... Na tunakamilisha maandalizi ya kesho. Au unataka source gani
Hyatt Hotel. Saa nane kamiliUkumbi gani?
Kukamatwa akamatwe mtoaji na aliyepokea ....wote wakamatwe ....Lazima akamatwe mpumbavu huyu
Ukweli wako ni upiWacha uongo wa mchana.
Yap niko naye hapa Hotelini kwake....Wewe ndiye afisa habari wa huyo muitaliano?
Umeiokotea wapi hii habari?
Maanake uzushi umekuwa mwingi sana mitandaoni muhimu kujiridhisha na chanzo cha habari.
BTW:Awe makini tu sababu hiyo press inaweza kuzika ndoto za urais wa mtu.
Endelea kujipa moyo....It looks like JANUARY IS 100 STEPS AHEAD OF BAVICHA, you guys will be dissappointed comes the 'end' of this saga!
What you are expecting for WILL NEVER BE RELIZED!
This MUITALIANO is DEFINATELY going to SHIELD Makamba.
Common sense: DO YOU REALLY BELIEVE THAT HE'S GOING TO "PLEA GUILT" right in front of the media??
Ingekuwa ngozi nyeusi hapo kungefanyika namna lakini NYEUPE kutoka yuropu,sidhani kama inaweza fanyika lolote iwapo hii taarifa ni ya kweli zaidi labda ni kumfukuza nchiniNa huyo muitaliano muangalieni vizuri asije akafanana na jina la hiyo hotel kabla ya hiyo kesho. Kitumbua cha mtu kukitia mchanga si rahisi hivyo.
ukimwaga mboga watu wanamwaga ugaliHa ha ha ha ha hii sasa imekaa vizuri!
Kwa kweli NAHOJI akili za watu hapa kama hii ndo wanafikiri inaenda tokea! Tatizo watu wanatumia MIHEMKO kufikiri.Mtoa rushwa kwenye dili ya kitapeli anajitokeza hadharani kukiri jinai? Itakuwa kwa video conference? Na wenye hoteli hawana shaka? Nchi ya komedi.