Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Status
Not open for further replies.
Hivi huyu ndio alitaka kuwa rais Na Ana ndoto za kuwa rais Mungu saidia Tanzania
 
Hayaaa ....wale waliojifanya wanajua lafudhi ya kiitaliano eti wamedate nao nendeni Hyatt kesho wenyewe mlete mrejesho ....[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Niko hapa Hyatt saizi... Na tunakamilisha maandalizi ya kesho. Au unataka source gani
Na huyo muitaliano muangalieni vizuri asije akafanana na jina la hiyo hotel kabla ya hiyo kesho. Kitumbua cha mtu kukitia mchanga si rahisi hivyo.
 
It looks like JANUARY IS 100 STEPS AHEAD OF BAVICHA, you guys will be dissappointed comes the 'end' of this saga!
What you are expecting for WILL NEVER BE RELIZED!
This MUITALIANO is DEFINATELY going to SHIELD Makamba.
Common sense: DO YOU REALLY BELIEVE THAT HE'S GOING TO "PLEA GUILT" right in front of the media??
 
Wewe ndiye afisa habari wa huyo muitaliano?

Umeiokotea wapi hii habari?

Maanake uzushi umekuwa mwingi sana mitandaoni muhimu kujiridhisha na chanzo cha habari.

BTW:Awe makini tu sababu hiyo press inaweza kuzika ndoto za urais wa mtu.
Yap niko naye hapa Hotelini kwake....
 
It looks like JANUARY IS 100 STEPS AHEAD OF BAVICHA, you guys will be dissappointed comes the 'end' of this saga!
What you are expecting for WILL NEVER BE RELIZED!
This MUITALIANO is DEFINATELY going to SHIELD Makamba.
Common sense: DO YOU REALLY BELIEVE THAT HE'S GOING TO "PLEA GUILT" right in front of the media??
Endelea kujipa moyo....
 
Kuna wakati tanzania ilichafuka kimataifa mpaka kuwekewa " red" kiuwekezaji ikimaanisha nenda kwa MAKINI, waweza ibiwa!!!
*just imagine aliwezaje kurekodi?
all is because of RED ALERT!
 
Na huyo muitaliano muangalieni vizuri asije akafanana na jina la hiyo hotel kabla ya hiyo kesho. Kitumbua cha mtu kukitia mchanga si rahisi hivyo.
Ingekuwa ngozi nyeusi hapo kungefanyika namna lakini NYEUPE kutoka yuropu,sidhani kama inaweza fanyika lolote iwapo hii taarifa ni ya kweli zaidi labda ni kumfukuza nchini
 
Mtoa rushwa kwenye dili ya kitapeli anajitokeza hadharani kukiri jinai? Itakuwa kwa video conference? Na wenye hoteli hawana shaka? Nchi ya komedi.
Kwa kweli NAHOJI akili za watu hapa kama hii ndo wanafikiri inaenda tokea! Tatizo watu wanatumia MIHEMKO kufikiri.
Yaani akajikaange right in front of the media?? The ITALIAN NATIONAL???Haiingii akilini. Kama ataongea kweli, expect a lot of REFUTATION.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom