Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

Status
Not open for further replies.
Tunajua January ana jeshi kubwa kwenye mitandao. Ila poleni sana.... Kesho hamtaamini macho yenu
mimi si mmoja kati ya wapiganaji wa January Lakini nasimama katika kukitetea chama katika namna ya kukupuuza. Andishi lako la jana limeondoa kila kitu katika kukuamini. Unaonekana kutumika kijana, kutumika bila Kujua mwisho wa kutumika kwako ni Upi. Kwa tunaokusoma katika namna ya u Willy Gamba tunaona uongo mkubwa katika andishi hili. Sichelei kusema kuwa Jukwaa hili unalishusha hadhi. January Atahukumiwa kwa Lile linalomhusu tu sio kukiingiza Chama katika Upuuzi Wako
 
Mtoa rushwa kwenye dili ya kitapeli anajitokeza hadharani kukiri jinai? Itakuwa kwa video conference? Na wenye hoteli hawana shaka? Nchi ya komedi.

Hahahaaa umestukia eeh?

Halafu kwa nini suala zima linakuwa played out kwenye social media?

Things that make you go hmm....

Ila nisiseme mengi. Ngoja nivute subira....
 
Mtoa rushwa kwenye dili ya kitapeli anajitokeza hadharani kukiri jinai? Itakuwa kwa video conference? Na wenye hoteli hawana shaka? Nchi ya komedi.
Umesahau ya Kleruu Mkuu ,aliyemuua alifanya nini ??
 
Kuna mfumo mkubwa sana nyuma ya hii skendo. Watu wasichukulie kama ni issue ya January na Muitaliano.... Kuna kitu kikubwa kinakuja, watanzania hawataamini
2025 Marathon... Naamini kabisa nyuma ya hii saga kuna akina Ritz, Ex Mayor wa Ilala, Bashe... Je, January atakubali kuondoka kama alivyoondoka EL?? Atakubali kukaa nje ya mfumo kwa miaka 9 ijayo..

Lakini pia, huu mpango mzima umesukwa na wazee wa suti nyeusi pale Obey ili kunusuru nchi na Rais Mbovu mpiga madili 2025... JPM alishauriwa amwache nje huyu kijana ila yule aliyepita na makada wa chama wakamzonga JPM ampe Uwaziri
 
Naona boss wako kashokwa pabaya ,,kipindi cha kampeni si ndo alikuwa anagawa hela,,,
mwenye Akili ndogo kama wewe ndio unaweza kuwaza hivyo lakini mwenye udadisi na mchunguzi hawezi kukubaliana na Hili... Tunapigana sababu ya Chama sio mtu... Ipe kazi Akili yako kwanza kabla Hujanijibu
 
Mkuu si utulie mpaka hiyo kesho ili ukosoe vizuri akili za hao unaowaita wapumbavu.. Kama una hakika sana kwamba haiwezi tokea subiri hiyo saa 8 basi
Dah!
Hivi ni wapi NIMEWAITA WATU WAPUMBAVU??
Kama una busara naomba UTENGUE kauli yako au weka hiyo QUOTE niliyoita watu wapumbavu.
Nimekubaliana nawe KUSUBIRI hiyo kesho saa nane.
 
Makamba wakikupiga Chini tuletee na wewe hapa data za uchaguzi mkuu jinsi mlivyopata ushindi ili na sisi tutumie kambinu hako 2020 mweeh maana nasomea IT sasa hivi.
 
Hao vijana wa UVCCM walizoea kupewa vilaki moja moja na January saizi naona wanahaha kweli kweli.... Hawataki kutafuta kazi halali, wanabaki kujipendekeza tu...

Juzi kwenye msiba wa Kaka yake Jakaya, yaani niliwaona vijana hawa wa UVCCM wanahaha kumsalimia kila mtu, wanaomba ela mpaka msibani na kutafuta UDC..... Kazi yangu ni kuwapaka watafute ajira xa kudumu
usiikimbie mada ulioianzisha.. Binafsi sitegemei laki wala Ukuu wa wilaya lakini tunapoona unaleta ujinga wa kimachomacho ni Jukumu letu kukufundisha
 
Hivi mlivyokiwa mnamuita lowassa fisadi bila hata chembe ya ushahidi mlikua hamjui hili?njia ya mwongo, mwizi na mnafiki ni fupi sana, let us wait and see, it is going to be a tough week for January Makamba and family
Ushahidi wa ufisadi wa lowassa TUNDU LISSU ALISEMA ANAO, yaani wakuu wa chadema walisema wanao na baadhi ilianikwa na Dr. Slaa kuhusu masuala ya Richmond.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom