Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi si mmoja kati ya wapiganaji wa January Lakini nasimama katika kukitetea chama katika namna ya kukupuuza. Andishi lako la jana limeondoa kila kitu katika kukuamini. Unaonekana kutumika kijana, kutumika bila Kujua mwisho wa kutumika kwako ni Upi. Kwa tunaokusoma katika namna ya u Willy Gamba tunaona uongo mkubwa katika andishi hili. Sichelei kusema kuwa Jukwaa hili unalishusha hadhi. January Atahukumiwa kwa Lile linalomhusu tu sio kukiingiza Chama katika Upuuzi WakoTunajua January ana jeshi kubwa kwenye mitandao. Ila poleni sana.... Kesho hamtaamini macho yenu
hahahahaa hatare mtu sijui kadate na waitaliano wote zaidi ya milioni 76?hahahaha maana anajua lafudhi ya kila muitalianaHayaaa ....wale waliojifanya wanajua lafudhi ya kiitaliano eti wamedate nao nendeni Hyatt kesho wenyewe mlete mrejesho ....[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Mtoa rushwa kwenye dili ya kitapeli anajitokeza hadharani kukiri jinai? Itakuwa kwa video conference? Na wenye hoteli hawana shaka? Nchi ya komedi.
Umesahau ya Kleruu Mkuu ,aliyemuua alifanya nini ??Mtoa rushwa kwenye dili ya kitapeli anajitokeza hadharani kukiri jinai? Itakuwa kwa video conference? Na wenye hoteli hawana shaka? Nchi ya komedi.
2025 Marathon... Naamini kabisa nyuma ya hii saga kuna akina Ritz, Ex Mayor wa Ilala, Bashe... Je, January atakubali kuondoka kama alivyoondoka EL?? Atakubali kukaa nje ya mfumo kwa miaka 9 ijayo..Kuna mfumo mkubwa sana nyuma ya hii skendo. Watu wasichukulie kama ni issue ya January na Muitaliano.... Kuna kitu kikubwa kinakuja, watanzania hawataamini
Source ni yeye Mwenyewe.SOURCE YA TAARIFA YAKO .... TAFADHALI! NI UTARATIBU WA JF NAONA UMEPOTEA SIKUHIZI .. MTU NALETA TAARIFA BILA KUWEKA CHANZO ..
Eti bwana mdogo hahahahahahaha. I wish ungekuwa unanifahamu.....Jibu swali bwana mdogo....Tamko lile ulilitoa wapi?
mwenye Akili ndogo kama wewe ndio unaweza kuwaza hivyo lakini mwenye udadisi na mchunguzi hawezi kukubaliana na Hili... Tunapigana sababu ya Chama sio mtu... Ipe kazi Akili yako kwanza kabla HujanijibuNaona boss wako kashokwa pabaya ,,kipindi cha kampeni si ndo alikuwa anagawa hela,,,
Dah!Mkuu si utulie mpaka hiyo kesho ili ukosoe vizuri akili za hao unaowaita wapumbavu.. Kama una hakika sana kwamba haiwezi tokea subiri hiyo saa 8 basi
usiikimbie mada ulioianzisha.. Binafsi sitegemei laki wala Ukuu wa wilaya lakini tunapoona unaleta ujinga wa kimachomacho ni Jukumu letu kukufundishaHao vijana wa UVCCM walizoea kupewa vilaki moja moja na January saizi naona wanahaha kweli kweli.... Hawataki kutafuta kazi halali, wanabaki kujipendekeza tu...
Juzi kwenye msiba wa Kaka yake Jakaya, yaani niliwaona vijana hawa wa UVCCM wanahaha kumsalimia kila mtu, wanaomba ela mpaka msibani na kutafuta UDC..... Kazi yangu ni kuwapaka watafute ajira xa kudumu
Ushahidi wa ufisadi wa lowassa TUNDU LISSU ALISEMA ANAO, yaani wakuu wa chadema walisema wanao na baadhi ilianikwa na Dr. Slaa kuhusu masuala ya Richmond.Hivi mlivyokiwa mnamuita lowassa fisadi bila hata chembe ya ushahidi mlikua hamjui hili?njia ya mwongo, mwizi na mnafiki ni fupi sana, let us wait and see, it is going to be a tough week for January Makamba and family