titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Mkeka unakaribia kuchanikaNimeamini mitandao inaweza kumzamisha mtu,January anautema mzigo ndani ya mda mfupi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkeka unakaribia kuchanikaNimeamini mitandao inaweza kumzamisha mtu,January anautema mzigo ndani ya mda mfupi tu
Hahahahaa mkeka mgumu.Mkeka unakaribia kuchanika
hongera kwa kubashiri upande niliopo ila umeingia cha kike.mtaleta mada na kuzpangua wenyewe ,,,ila mnajitaidi kucheza na akili za watu.
danganya wengne sio mm!!hongera kwa kubashiri upande niliopo ila umeingia cha kike.
Jamani wewe si KADA?hahahahaa hatare mtu sijui kadate na waitaliano wote zaidi ya milioni 76?hahahaha maana anajua lafudhi ya kila muitaliana
Cha Ajabu Mods wapo na Wanaliacha jukwaa likizidi kushushwa hadhi kwa andishi la Huyu jamaa... Andishi ambalo ukilisoma kwa Makini unajua kabisa ni Upuuzi...
mimi ni kada wa Tanzania na si vinginevyoJamani wewe si KADA?
Magu hasomagi mitandao.Nimeamini mitandao inaweza kumzamisha mtu,January anautema mzigo ndani ya mda mfupi tu
Achukucha, achukucha, achukucha, achukuuuuchaaaaa.
"Tulieni tulieni, kuna mengiiii" jamaa Wa CUF.
Mzungu anadai katapeliwa 1m dollars aliyotoa ili apewe tender ya kujenga Bagamoyo port, wakati hivi ss kazuiliwa na hotel ya Hyatt asitoke mpaka alipe deni la hotel, haiingi akilini..
Ukweli ni kinyume cha taarifa yako.Lete ya ukweli
Yupo under arrest, ameshindwa kulipa pesa za kukaa hotelini hapo, hivyo wanamshikiria huyo "Mwekezaji Makini"Hivi hapo Hyatt yupo under arrest au ?? Asije tu akauwawa
Nanusa harufu ya ukweli hapaIt looks like JANUARY IS 100 STEPS AHEAD OF BAVICHA, you guys will be dissappointed comes the 'end' of this saga!
What you are expecting for WILL NEVER BE RELIZED!
This MUITALIANO is DEFINATELY going to SHIELD Makamba.
Common sense: DO YOU REALLY BELIEVE THAT HE'S GOING TO "PLEA GUILT" right in front of the media??
Hongera sana Madam, Ila nimeanza kugundua Makada mmegawanyika!mimi ni kada wa Tanzania na si vinginevyo
Walimu wana kazi kubwa. Umesoma Heading vizuri?Ataongelea wap?