Mzunguko wa hewa huwa sio mzuri ndani ya Bus zenye viyoyozi (AC), bora kufungua vioo tu

Nahisi watu wenye akili ndogo (wale lazy brains) huwa hawapati shida mabasi yanapokosa oxygen ya kutosha kwa kisingizio Cha AC kuwa on, maana bongo wao ziko idle tu, hazihitaji oxygen nyingi kufanya kazi zake.
 
Kwan hakuna wataalam wakatusaidia kutoa ufafanuzi jinsi mfumo wa ac unavyofanya kaz?kwa uelewa wangu ac yyote tiar ina mfumo wa kutoa na kuingiza hewa safi na chafu au hao wachina mpaka leo hawajaweza kutengeneza ac standard??
 
Kufunga mfumo unaoweza kuongeza oxygen nauli sio itakuwa ghali sana? Waruhusu tu mtu akizidiwa afungue dirisha.
 
Vipi ndege zenye kubeba watu 300?
 
Bila shaka seli zako muhimu za mwili zimeanza kufa hapo ungekuwa na uwezo wa kwenda mahali penye bundi hakika wangelitambua Hilo jichunguze Kuna ugonjwa unakumaliza taratibu
 
Nahisi watu wenye akili ndogo (wale lazy brains) huwa hawapati shida mabasi yanapokosa oxygen ya kutosha kwa kisingizio Cha AC kuwa on, maana bongo wao ziko idle tu, hazihitaji oxygen nyingi kufanya kazi zake.
Ukiwaambia makondakta watakujibu watu wenye akili kubwa hawapandi mabasi.
 
Unajua mpaka basi limewekwa AC unafikiri manufacturers walikurupuka tu na wala international standards kiafya hazikufuatwa?
 
Kufunga mfumo unaoweza kuongeza oxygen nauli sio itakuwa ghali sana? Waruhusu tu mtu akizidiwa afungue dirisha.
Nadhani watalifanya kwa kuzingatia hali za wanyonge kama walivyofanya kwenye kutuletea mabasi ya kisasa kulingana na mfuko wetu......wale jamaa hawashindwi kitu
 
Unajua mpaka basi limewekwa AC unafikiri manufacturers walikurupuka tu na wala international standards kiafya hazikufuatwa?
AC haijawa designed kwa umbali mrefu, tena nadhani kuna coution kabisa kuwa kwa umbali mrefu zima ufungue vioo kuruhusu hewa mpya iingie.
 
Nadhani watalifanya kwa kuzingatia hali za wanyonge kama walivyofanya kwenye kutuletea mabasi ya kisasa kulingana na mfuko wetu......wale jamaa hawashindwi kitu
Inawezekana kabisa.
 
Hahaha, Ukute sasa wameweka yale madawa ya kuzuia harufu na yenyewe yana harufu yake afu atokee mluga luga asiyejua kuwa mule ni haja ndogo tu akashushe jambo lake.
Huwa kwenye mabus wanafanya fumigation kuepuka kuwa na kunguni ndani ya bus na wadudu wanaotambaa, sasa ukijichanganya upande siku iliyotoka kupulizwa hizo sumu alafu ule hewa ya AC tu ni hatari.
 
Sahihi, kuunyima ubongo hewa safi ya kutosha kwa muda mrefu ni sababu mojawapo kubwa ya uchovu wa mwili. Kama kweli AC ni muhimu hivyo hawana budi pia kuongeza mfumo wa uingizaji hewa safi ndani na utoaji hewa chafu nje.
 
Unajua mpaka basi limewekwa AC unafikiri manufacturers walikurupuka tu na wala international standards kiafya hazikufuatwa?
Inawezekana kwenye hili la AIR CONDITIONING wakawa waliteleza kimakadirio kama walivyokusudia......pengine wali design kwa ajili ya umbali wa safari za km 500 kushuka chini ku sustain hiyo hali lakini badala yake zinapigwa non stop all the way 800km.......

Nadhani bado wanayo nafasi ya kujirekebisha kwani hili suala linagusa afya za watu moja kwa moja
 
Huwa kwenye mabus wanafanya fumigation kuepuka kuwa na kunguni ndani ya bus na wadudu wanaotambaa, sasa ukijichanganya upande siku iliyotoka kupulizwa hizo sumu alafu ule hewa ya AC tu ni hatari.
Shubamiit. Mara kadhaa nimepanda hizi Yutong unakuta ni mpya tu ila nateseka kweli, najiuliza mbona huwa sina tatizo nikiwa nasafiri imekuaje? Sasa umenipa jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…