Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Hata mkeo ni used tayari, mimi naona single maza ni wànawake wa kawaida tuu hata niliyezaa nae ni single maza nà sioni kama ni used.Sijui ni umri umenitupa Nina 37 , changamoto yangu ni ndoa yangu mke wangu jeuri sana , Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa kinachoniuma ni kuwa Kila mwanamke ninayekutana naye ni single mother.
Nasumbuka sana nikitaka kufuata vitoto vya chuo na vidogo naona kabisa ntapoteana na najidharilisha vitoto havina akili na heshima , wenye umri wangu na zaidi Huwa mnafanyaje na hii changamoto ya kukutana na used tupu
Kwàni single dad wànakuwa nao wamezaa? Kwa mwanaume hakuna kuzaa ni kutia mimba tuu, yaani kukojoa basi.Single dad hataki single mother.. Huu mwaka na uishe tu
Wee kula watoto wa chuo...watamu sana haoSijui ni umri umenitupa Nina 37 , changamoto yangu ni ndoa yangu mke wangu jeuri sana , Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa kinachoniuma ni kuwa Kila mwanamke ninayekutana naye ni single mother.
Nasumbuka sana nikitaka kufuata vitoto vya chuo na vidogo naona kabisa ntapoteana na najidharilisha vitoto havina akili na heshima , wenye umri wangu na zaidi Huwa mnafanyaje na hii changamoto ya kukutana na used tupu
Anakwepa gharama ya ngono anatengeneza gonjwa la kumuua.Tezi dume hakuachi salama
Ukipata location please share tuandamane kuelekea eneo la tukioKwahiyo sahivi uko wapi?
Wapi hapo nije kula samaki mkuu
Mpendwa,Sijui ni umri umenitupa Nina 37 , changamoto yangu ni ndoa yangu mke wangu jeuri sana , Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa kinachoniuma ni kuwa Kila mwanamke ninayekutana naye ni single mother.
Nasumbuka sana nikitaka kufuata vitoto vya chuo na vidogo naona kabisa ntapoteana na najidharilisha vitoto havina akili na heshima , wenye umri wangu na zaidi Huwa mnafanyaje na hii changamoto ya kukutana na used tupu
Hàpo tàtizo ni neno ndoa, tendo la kutombaner libaki palepale. Ndoa ndo iondoke.Tendo la ndoa lifutwe, linaleta migogoro.....
Na tango kwa hao single maza.Furaha pekee iliyobaki ni kuishi na mche wa sabuni
Ya kwao kutuzwa inaeleweka baada ya kuolewa mume anachukuanhilo jukumu, kwahiyo hii Haina uhusiano na kwao maana Kwa ss hayuko kwao ila Kwa mume!Mkewe sio kichaa si ajabu kuna vitu havitaki, kwani Kwao hakuwa anatunzwa? Habari za kusema namtunza! Hivi asingetunzwa angemuona mrembo?
HOngeraNimeweza na bado mwaka unaofuata nitaweza pia😊
Kwani mwanamke kufanya majukumu kama mke yeye anakuwa hamtunzi mmewe? Msiwe wabnafsi kwakuona mke akishaolewa kuwa kama mtumwa eti namtunza, mimba wanazobeba na kulea watoto inakuwaje! Tuishie hapaYa kwao kutuzwa inaeleweka baada ya kuolewa mume anachukuanhilo jukumu, kwahiyo hii Haina uhusiano na kwao maana Kwa ss hayuko kwao ila Kwa mume!
Na point yangu ilikuwa km mwanaume anatimiza majukumu yake mwanamke hawezi leta jeuri
Kuna watu mi nikiwaambia wanawake ni viumbe vya ajabu wanabisha.Sijui ni umri umenitupa Nina 37 , changamoto yangu ni ndoa yangu mke wangu jeuri sana , Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa kinachoniuma ni kuwa Kila mwanamke ninayekutana naye ni single mother.
Nasumbuka sana nikitaka kufuata vitoto vya chuo na vidogo naona kabisa ntapoteana na najidharilisha vitoto havina akili na heshima , wenye umri wangu na zaidi Huwa mnafanyaje na hii changamoto ya kukutana na used tupu
I think Kuna mahali tunapishana uelewaKwani mwanamke kufanya majukumu kama mke yeye anakuwa hamtunzi mmewe? Msiwe wabnafsi kwakuona mke akishaolewa kuwa kama mtumwa eti namtunza, mimba wanazobeba na kulea watoto inakuwaje! Tuishie hapa