Na changamoto katika ndoa yangu. Mke wangu jeuri sana, Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa

Na changamoto katika ndoa yangu. Mke wangu jeuri sana, Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa

Sijui ni umri umenitupa Nina 37 , changamoto yangu ni ndoa yangu mke wangu jeuri sana , Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa kinachoniuma ni kuwa Kila mwanamke ninayekutana naye ni single mother.

Nasumbuka sana nikitaka kufuata vitoto vya chuo na vidogo naona kabisa ntapoteana na najidharilisha vitoto havina akili na heshima , wenye umri wangu na zaidi Huwa mnafanyaje na hii changamoto ya kukutana na used tupu
Siku hizi vitoto navyo vinataka mkubwa anayejua kuhudumia mzee,tafuta location nzuri na ramani ya kumpata aliyehitimu shule na hajapata kazi wala biashara miaka 23-26 hawa wako serious sana
 
Umefika 37 hlf unatk kuanza kujifanyia majaribio? daah..haya mambo ya kupambanisha wanawake chunga sana aisee, utatangulia chap au kupotezewa ramani yako mazima, sikuhiz wanawake wamekuwa sio watu wazuri, mtu anaenda kwa sangoma anakuhamisha network unakuwa usimamishi isipokuwa unapokuwa na yeye tu au unatolewa akili unajikuta hautaki tu kwenda kazini hadi mwajiri anaamua kukufukuza kazi ndo unarudishiwa akili yako. mambo ni mengi muda mchache. uchaguzi ni wako.
 
Sijui ni umri umenitupa Nina 37 , changamoto yangu ni ndoa yangu mke wangu jeuri sana , Sasa Huwa natafuta faraja nje ya ndoa kinachoniuma ni kuwa Kila mwanamke ninayekutana naye ni single mother.

Nasumbuka sana nikitaka kufuata vitoto vya chuo na vidogo naona kabisa ntapoteana na najidharilisha vitoto havina akili na heshima , wenye umri wangu na zaidi Huwa mnafanyaje na hii changamoto ya kukutana na used tupu
Wewe endelea kutafuta size yako na yeye anatafuta walio wadogo zaidi yako, kwahiyo mkikutana kila mmoja stress zilisha mtoka huko,
 
Mkuu, Hakuna amani nje ya ndoa, kule kuna kutuliza nyege tu. Kama mkeo hakupi amani itengeneze, ukishindwa bora isiwepo tu hiyo ndoa.
 
Wanajua kupenda hao ila wanapo jichanganya ni pale wanapoanza kufundisha mtoto wake akuite baba, mwisho wa siku uanze kununua uniform
 
Back
Top Bottom