GE2025 Na hawa ndio vijana wa kiTanzania watakaoandamana Oktoba 29?

GE2025 Na hawa ndio vijana wa kiTanzania watakaoandamana Oktoba 29?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Kanda ya ziwa bado safari ni ndefu, sijui wamepatwa na nini


1759822880816.png


Wananchi wa Buhongwa Wilayani Nyamagana Mkoani Mwanza wakiwa wamejitokeza kwa wingi pembezoni mwa barabara, tayari kwaajili ya kumlaki na kumsikiliza mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Oktoba 07, 2025.

Samia amerejea kwenye kampeni zake mara baada ya mapumziko mafupi na zamu hii akitarajiwa kurindima kwenye mikoa ya Kanda ya Ziwa akianza na mkoa wa Mwanza kwenye wilaya za Nyamagana, Misungwi pamoja na wilaya ya Sengerema.
 
Hiyo ni misukule tu ya ccm. Haina impact yoyote ile chanya kwa nchi. Vijana wenyewe wapo tu wakisubiri hiyo siku ifike, halafu wakinukishe.
 
Ujinga, umasikini, na uchawa ni vitu vibaya sana.
 
Back
Top Bottom