Na hii ndio tofauti ya klabu bingwa na kombe la shirikisho

Na hii ndio tofauti ya klabu bingwa na kombe la shirikisho

Mi naombea Yanga itoke, simba isonge, ikiwa vinginevyo tutataniwa sana, na itaonekana yule Zeruzeru ndo mwenye makombe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Vitu vya CAFCL[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mivitu ya LOSERS CUP
images%20(7).jpg
 
Tumeanza kuongea kwa lugha.

Yaani ikitokea Utopolo wakabeba ilo kombe sijui sura zetu tutazifichia wapi!!!!
 
Man utd anacheza Europa
Barcelona anacheza Europa
As Roma
Juve
Arsenal.
Hebu ya timu hizo nioneshe timu iliyo ndogo kuliko Benifica, sporting cp, zikizokuwa zikicheza Uefa!! Au unatapika uchafu uliokula😅. Mwaka huu mtapasuka makoo mamaee nyanoko Bheng'wee
 
-Kwenye Top 10 ya vilabu bora Afrika, Ni timu moja tu (Pyramids) ndio ipo Shirikisho (CAFCC) huku Petro Atletico de Luanda wakiwa hawashiriki michuano ya CAF baada ya kutolewa hatua ya makundi.

Timu zingine 8 zote zipo Kombe la Mabingwa (CAFCL).

[emoji1093]Al Ahly - 𝗖𝗔𝗙𝗖𝗟
[emoji1173]Wydad AC - 𝗖𝗔𝗙𝗖𝗟
[emoji1249]Esperance - 𝗖𝗔𝗙𝗖𝗟
[emoji1173]Raja AC - 𝗖𝗔𝗙𝗖𝗟
[emoji1221]Mamelodi Sundowns - 𝗖𝗔𝗙𝗖𝗟
[emoji1026]CR Belouizdad - 𝗖𝗔𝗙𝗖𝗟
[emoji1241]Simba - 𝗖𝗔𝗙𝗖𝗟
[emoji1029]Petro Atletico [emoji777]
[emoji1026]Js Kabyle - 𝗖𝗔𝗙𝗖𝗟
[emoji1093]Pyramids - ℂ𝔸𝔽ℂℂ

Katika timu 8 zilizoingia hatua ya robo fainali ya CAFCL ni timu mbili tu ndizo zinatoka timu zenye watu wengi weusi

Mamelodi Sundowns - South Africa
Simba Sc - Tanzania.

Timu zingine zote 6 zinatoka Kaskazini (Waarabu)

Al Ahly - Misri
Wydad AC - Morocco
Esperance - Tunisia
Raja AC - Morocco
CR Belouizdad - Algeria
Js Kabyle - Algeria
mashabiki wa simba waoga sana na yanga kwenye kimataifa msimu huu,yaani hizi nyuz zenu humu mnaonesha kisaikolojia hamko sawa,mnaonekana mnahofia sana yanga kwamba anaenda kuweka ufalme wake kimataifa na kuwa timu ya kwanza east africa kufanya ivyo kabla ya nyinyi wazee wa roba fainali...MLIKUWA WAPIII?
 
Man utd anacheza Europa
Barcelona anacheza Europa
As Roma
Juve
Arsenal.
Hebu ya timu hizo nioneshe timu iliyo ndogo kuliko Benifica, sporting cp, zikizokuwa zikicheza Uefa!! Au unatapika uchafu uliokula😅. Mwaka huu mtapasuka makoo mamaee nyanoko Bheng'wee
Kwa namna akili zao zilivyo; sidhani kama atatokea hata mmoja wao atakaye kuelewa.
 
-Kwenye Top 10 ya vilabu bora Afrika, Ni timu moja tu (Pyramids) ndio ipo Shirikisho (CAFCC) huku Petro Atletico de Luanda wakiwa hawashiriki michuano ya CAF baada ya kutolewa hatua ya makundi.

Timu zingine 8 zote zipo Kombe la Mabingwa (CAFCL).

[emoji1093]Al Ahly - 𝗖𝗔𝗙𝗖𝗟
[emoji1173]Wydad AC - 𝗖𝗔𝗙𝗖𝗟
[emoji1249]Esperance - 𝗖𝗔𝗙𝗖𝗟
[emoji1173]Raja AC - 𝗖𝗔𝗙𝗖𝗟
[emoji1221]Mamelodi Sundowns - 𝗖𝗔𝗙𝗖𝗟
[emoji1026]CR Belouizdad - 𝗖𝗔𝗙𝗖𝗟
[emoji1241]Simba - 𝗖𝗔𝗙𝗖𝗟
[emoji1029]Petro Atletico [emoji777]
[emoji1026]Js Kabyle - 𝗖𝗔𝗙𝗖𝗟
[emoji1093]Pyramids - ℂ𝔸𝔽ℂℂ

Katika timu 8 zilizoingia hatua ya robo fainali ya CAFCL ni timu mbili tu ndizo zinatoka timu zenye watu wengi weusi

Mamelodi Sundowns - South Africa
Simba Sc - Tanzania.

Timu zingine zote 6 zinatoka Kaskazini (Waarabu)

Al Ahly - Misri
Wydad AC - Morocco
Esperance - Tunisia
Raja AC - Morocco
CR Belouizdad - Algeria
Js Kabyle - Algeria

Tofauti lazima iwe kubwa. Maana sijui ilikuwaje kwenye CAFCL wakaingia VIpers na Horoya, Pyramids akaangukia CAFCC na Petro Athletico akakosa kote.
 
Back
Top Bottom