Na hii ndio tofauti ya klabu bingwa na kombe la shirikisho

Mi naombea Yanga itoke, simba isonge, ikiwa vinginevyo tutataniwa sana, na itaonekana yule Zeruzeru ndo mwenye makombe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Vitu vya CAFCL[emoji91][emoji91][emoji91]
Your browser is not able to display this video.
 
Tumeanza kuongea kwa lugha.

Yaani ikitokea Utopolo wakabeba ilo kombe sijui sura zetu tutazifichia wapi!!!!
 
Man utd anacheza Europa
Barcelona anacheza Europa
As Roma
Juve
Arsenal.
Hebu ya timu hizo nioneshe timu iliyo ndogo kuliko Benifica, sporting cp, zikizokuwa zikicheza Uefa!! Au unatapika uchafu uliokulaπŸ˜…. Mwaka huu mtapasuka makoo mamaee nyanoko Bheng'wee
 
mashabiki wa simba waoga sana na yanga kwenye kimataifa msimu huu,yaani hizi nyuz zenu humu mnaonesha kisaikolojia hamko sawa,mnaonekana mnahofia sana yanga kwamba anaenda kuweka ufalme wake kimataifa na kuwa timu ya kwanza east africa kufanya ivyo kabla ya nyinyi wazee wa roba fainali...MLIKUWA WAPIII?
 
Kwa namna akili zao zilivyo; sidhani kama atatokea hata mmoja wao atakaye kuelewa.
 

Tofauti lazima iwe kubwa. Maana sijui ilikuwaje kwenye CAFCL wakaingia VIpers na Horoya, Pyramids akaangukia CAFCC na Petro Athletico akakosa kote.
 
Hao sasa ndo wale wanaitwaga VIGOGO WA SOKA BARANI AFRIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…