Na Hii shahada yangu, niuze matikiti? This is not fair.

Na Hii shahada yangu, niuze matikiti? This is not fair.

Haina shida siku wanaokulisha wakikuchoka aibu itaisha unaweza hata kwenda Mufindi kuvuna chai na vile vikapu vikubwa mgongoni
 
C Bora nisingesoma kabisa
How come na shahada yangu niuze matikiti kwenye deli...

Hii sio haki
Kitendo cha kuandika “C Bora nisingeosoma”badala ya Sibora nisingesoma wewe hata matikiti hayakufai kwa sababu thamani yake nikubwa kuliko wewe! Tafuta kazi nyingine,au kakate magogo uchome mkaa
 
Back
Top Bottom