mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 47,054 Reaction score 58,689 Jul 13, 2025 #21 Wewe tu
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,431 Jul 13, 2025 #22 Kwanini usiingie katika kilimo?
Notorious_Marcc JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 2,598 Reaction score 6,147 Jul 13, 2025 #23 Ukikua utaacha kuwa na mentality ya ki-maskini kama hii.
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,353 Reaction score 62,400 Jul 13, 2025 #24 Haina shida siku wanaokulisha wakikuchoka aibu itaisha unaweza hata kwenda Mufindi kuvuna chai na vile vikapu vikubwa mgongoni
Haina shida siku wanaokulisha wakikuchoka aibu itaisha unaweza hata kwenda Mufindi kuvuna chai na vile vikapu vikubwa mgongoni
KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,952 Reaction score 9,469 Jul 13, 2025 #25 Nipo Dar said: C Bora nisingesoma kabisa How come na shahada yangu niuze matikiti kwenye deli... Hii sio haki Click to expand... Kitendo cha kuandika “C Bora nisingeosoma”badala ya Sibora nisingesoma wewe hata matikiti hayakufai kwa sababu thamani yake nikubwa kuliko wewe! Tafuta kazi nyingine,au kakate magogo uchome mkaa
Nipo Dar said: C Bora nisingesoma kabisa How come na shahada yangu niuze matikiti kwenye deli... Hii sio haki Click to expand... Kitendo cha kuandika “C Bora nisingeosoma”badala ya Sibora nisingesoma wewe hata matikiti hayakufai kwa sababu thamani yake nikubwa kuliko wewe! Tafuta kazi nyingine,au kakate magogo uchome mkaa