NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Kesho kuna mechi ya Raja usiku saa saba, ikumbukwe mwarabu alishamvurumisha Simba tatu kwa mkapa, Kesho Simba wasipokuwa makini watabanikwa wazima wazima kuweka rekodi ya aina yake
Robo fainali wamevamia mtumbwi wa vibwengo wanaenda kutana na Mamelodi.
Robo fainali hawatoboi kwa Mamelodi, anaebaki kutuwakilisha kimataifa ni Yanga pekee, Maumivu niacheee!!
Derby derby derby, ukijumlisha maumivu ya huko caf ukiyaongezea na kipigo cha derby ni balaa nusu ya taabu, nadhani hadi sasa mechi nne mfululizo Simba hawajashinda kwenye derby
Kusugulia chumvi kidonda, Yanga anabeba kombe la ligi kuu kwa uhakika zaidi huku na Fa sijajua itakuaje ila kwa upande wa Simba huko Fa wanasubiriwa na kina azam + Singida
Baada ya mkusanyiko wa hayo maumivu, yanga anaenda kuinua ndoo ya Ligi kuu, kashavuka robo fainali kimataifa, Kombe la FA lileeee, na huu mwaka sherehe za ubingwa zitafanya sherehe za mwaka jana zionekane toto party