Na huu ndio wakati rasmi mashabiki wa Simba watatamani ardhi ipasuke wajifiche kwa aibu hizi zijazo, Kocha hawezi toboa msimu ujao

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Kesho kuna mechi ya Raja usiku saa saba, ikumbukwe mwarabu alishamvurumisha Simba tatu kwa mkapa, Kesho Simba wasipokuwa makini watabanikwa wazima wazima kuweka rekodi ya aina yake

Robo fainali wamevamia mtumbwi wa vibwengo wanaenda kutana na Mamelodi.

Robo fainali hawatoboi kwa Mamelodi, anaebaki kutuwakilisha kimataifa ni Yanga pekee, Maumivu niacheee!!

Derby derby derby, ukijumlisha maumivu ya huko caf ukiyaongezea na kipigo cha derby ni balaa nusu ya taabu, nadhani hadi sasa mechi nne mfululizo Simba hawajashinda kwenye derby

Kusugulia chumvi kidonda, Yanga anabeba kombe la ligi kuu kwa uhakika zaidi huku na Fa sijajua itakuaje ila kwa upande wa Simba huko Fa wanasubiriwa na kina azam + Singida

Baada ya mkusanyiko wa hayo maumivu, yanga anaenda kuinua ndoo ya Ligi kuu, kashavuka robo fainali kimataifa, Kombe la FA lileeee, na huu mwaka sherehe za ubingwa zitafanya sherehe za mwaka jana zionekane toto party
 
Mmm kwani wao wa kwanza kufungwa kafungwa Argentina na Saudi Arabia itakuwa simba
 
Robo fainali wamevamia mtumbwi wa vibwengo wanaenda kutana na Mamelodi.
Ukifuatilia mazungumzo ya mashabiki wa utopolo, utagundua yamekaa kiuogauoga hivi, yaani Yanga wanaona bora wasishiriki michuano kuliko kukutana na Raja au Mamelodi ! Huo ni ushamba! Klabu ya mpira imeundwa kucheza mpira, sio kuogopa ogopa mechi. Simba huwa haina uoga wa kijinga ndio maana hata CAF wameipa tiketi ya kucheza Super League.

NB: Hii mechi ukibet magoli mengi umeliwa hela zako
 
Kesho kuna mechi ya Raja usiku saa saba, ikumbukwe mwarabu alishamvurumisha Simba tatu kwa mkapa, Kesho Simba wasipokuwa makini watabanikwa wazima wazima kuweka rekodi ya aina yake

Robo fainali wamevamia mtumbwi wa vibwengo wanaenda kutana na Mamelodi.

Robo fainali hawatoboi kwa Mamelodi, anaebaki kutuwakilisha kimataifa ni Yanga pekee, Maumivu niacheee!!

Derby derby derby, ukijumlisha maumivu ya huko caf ukiyaongezea na kipigo cha derby ni balaa nusu ya taabu, nadhani hadi sasa mechi nne mfululizo Simba hawajashinda kwenye derby

Kusugulia chumvi kidonda, Yanga anabeba kombe la ligi kuu kwa uhakika zaidi huku na Fa sijajua itakuaje ila kwa upande wa Simba huko Fa wanasubiriwa na kina azam + Singida

Baada ya mkusanyiko wa hayo maumivu, yanga anaenda kuinua ndoo ya Ligi kuu, kashavuka robo fainali kimataifa, Kombe la FA lileeee, na huu mwaka sherehe za ubingwa zitafanya sherehe za mwaka jana zionekane toto party
Akili kisoda
 
Club ya kwanza katika historia ya Tanzania kucheza mechi saa 7 usiku, kama UEFA vile au World Cup.
 
Alifungwa Holoya saba itakua simba????.

Acha mechi ichezwe tupate matokeo sio kutabiri
 
Back
Top Bottom