*Na KiLa MmOjA AsEmE 'AMEEN'* ~*HAPPY BIRTHDAY SWEETLADY*~

*Na KiLa MmOjA AsEmE 'AMEEN'* ~*HAPPY BIRTHDAY SWEETLADY*~

Homeboy hii makitu ilikuwa lini? Kikombe alichonipa baba sitakinywa?

HBD sweetlady

Hebu come this way without.

Afu wewe , sikupendi wala asee! Natangaza kukununia kuanzia sasahivi mpaka dec tukikutana mgombani!
 
Last edited by a moderator:
Mie kwanza niskitike walau kiasi-cha-mboga!
Hizi Thrades za kukuwish sweetlady zimetuchanganya ujue!
Ziko mbili , sie wengine tumejimix kwenye ile ya pili , kumbe pipo kibao wako kwenye hii.
Nway nikutakie maisha marefu, shemeji yng wa zamani (shemeji used)
 
Haa hahhahahahah.... Eti shemeji used daaah.... Haya bwana, mie nashukuru sana kwa wishes zako shemu langu la zamani, ila ukumbuke awali ni awali tu bana!!!... Hivyo lolote linaweza kutokea kwako na Husninyo mda wowote lol
 
Okey Shem , naona unatema busara tupu kinywanimo!
Mtu anazeeka, busara hazizeeki! Afu Shem mbona simjui mnaechangia nae shuka currently?
 
Last edited by a moderator:
thanks nilishindwa kuwepo kwenye tukio cause mafua yalinibana cousin
ila nimefurahi kwa kuipenda kwani nilikuandalia ile uliyopenda ulivyokuwa mchanga sana
Waooooooh!... Sante sana my sweet cousin ladyfurahia.... Keki nzuri nimeipenda... Ujisogeze karibu sasa muda wa kuikata umewadia! Be blessed love!
 
Okey Shem , naona unatema busara tupu kinywanimo!
Mtu anazeeka, busara hazizeeki! Afu Shem mbona simjui mnaechangia nae shuka currently?

Ha ha ha ha.... Umeona shemu eeh? Shemejio baada ya kuwa sihasani mda mwingi sahivi kinywa kinatema mibusara tu lol!... Shemu kwakweli siku hizi nimeokoa, sichangii shuka na yeyote, nikilala nafunikwa kwa damu ya yesu!
 
thanks nilishindwa kuwepo kwenye tukio cause mafua yalinibana cousin
ila nimefurahi kwa kuipenda kwani nilikuandalia ile uliyopenda ulivyokuwa mchanga sana

Ooh pole sana kwa mafua kipenzi!... Vipi umeamkaje leo? Kwakweli mie nilifurahia kila kitu.... Nami pia nilishindwa kuwepo kwenye tukio kwa muda muafaka vile nilikuwa safarini ila dada binamu Lady doctor alituwakilisha vema sana! Na vile aliifanya kama sapraizi yaani acha kabisa dia , ilikuwa nzuri, rahaaa na furaha hapo hapo!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
haya ngoja nikushike handshake.jpg nenda kule nimeweka post hii "SI KILA MTU ATAONJA MJENGO." basi imeingiliwa na wenyewe wamekomenti mpaka homa ilipanda na kushuka cousin yaani we acha tu ila sasa najisiikia nafuu kidogo
aisee pole sana, mie wala sigusi kule huwa napiga chabo nakutoka, watu kule wamejaa stress balaa, hebu nishike mkono nikaone jinsi ulivyorushiwa mawe
 
Back
Top Bottom