Mie kwanza niskitike walau kiasi-cha-mboga!
Hizi Thrades za kukuwish sweetlady zimetuchanganya ujue!
Ziko mbili , sie wengine tumejimix kwenye ile ya pili , kumbe pipo kibao wako kwenye hii.
Nway nikutakie maisha marefu, shemeji yng wa zamani (shemeji used)
Haa hahhahahahah.... Eti shemeji used daaah.... Haya bwana, mie nashukuru sana kwa wishes zako shemu langu la zamani, ila ukumbuke awali ni awali tu bana!!!... Hivyo lolote linaweza kutokea kwako na Husninyo mda wowote lol
Waooooooh!... Sante sana my sweet cousin ladyfurahia.... Keki nzuri nimeipenda... Ujisogeze karibu sasa muda wa kuikata umewadia! Be blessed love!
Okey Shem , naona unatema busara tupu kinywanimo!
Mtu anazeeka, busara hazizeeki! Afu Shem mbona simjui mnaechangia nae shuka currently?
thanks nilishindwa kuwepo kwenye tukio cause mafua yalinibana cousin
ila nimefurahi kwa kuipenda kwani nilikuandalia ile uliyopenda ulivyokuwa mchanga sana
Nashukuru sana Block City... Ubarikiwe sana!!!!.... Mwaaaaaaaaaaaaah
Wanaoninyemelea mpaka sasa hivi ni Bishanga na Filipo
sweetlady hongera sana kwa besdei,imani yangu ni kuwa huu mwaka uliouanza leo uwe mwaka wa maridhiano,kusameheana na kufungua ukurasa mpya wa malavidavi na ndugu yangu nitonye........wakware kina Vin Diesel tupa kurrrrreeeeee hawana hadhi hata ya kufunga gedani za viatu vyako.
Cc Baba V, Judgement na Paloma....itifaki imezingatiwa.
aisee pole sana, mie wala sigusi kule huwa napiga chabo nakutoka, watu kule wamejaa stress balaa, hebu nishike mkono nikaone jinsi ulivyorushiwa mawe
Lady doctor naomba unipatie kipande changuSante sana Chocs.... Afu keki yako anayo dada binamu Lady doctor.... Umuone akupatie eeh
Afu wewe , sikupendi wala asee! Natangaza kukununia kuanzia sasahivi mpaka dec tukikutana mgombani!
ahsante dia.. Wii kaka ako amenificha na baridi hii
Lady doctor naomba unipatie kipande changu