Mkuu mi sina ubaya nawe kwani kizuri kula na mwenzako, so sit back
Hebu soma kacomment kake hapo juu
kumbe nilikosa utamu eeh
Tatizo mletamada hayupo makini kujibu comments za wadau wanao demand further explaination , ndiyo maana nilishatoa maguu yangu hapa , nimerejea by ajali tu !
he he he chinekeeee
habari nlisharekebisha rejea post
kwenye hiyo list aliyotaja kuna mkeo au hawara?
vin d mke wako ni nani nimpe cc ya hii comment
kwenye shida chukua zakoo ha ha haMzee wakubembeleza na maneno matamu
Aliona comment yako akarudi juu kurekebisha
Unadhan wanawake wenzio
wote walio olewa walipost mitandaoni hivi? Wenzio walikua wanajieshim na
heshima ndio maana wameolewa... uko mtaan kwenu hakuna waoaji? Nadhan
tabia zako aziridhishi ndio maana uolewi
karibu CC..utaelewa tuu
Huyo bado anajifunza kuita honey, darling ngoja tumpe muda
Hebu rekebisha usemi Shemeji ! "akarudi juu!"
Atarudije juu ilhali hajapata mume?
Futa kauli hiyo , either mwenyewe awe ameridhi .