Na mie nahitaji kuolewa!!!

Na mie nahitaji kuolewa!!!

Tatizo mletamada hayupo makini kujibu comments za wadau wanao demand further explaination , ndiyo maana nilishatoa maguu yangu hapa , nimerejea by ajali tu !

Aliona comment yako akarudi juu kurekebisha
 
amu ukitaka kula nyama ya mbuzi,chagua alonona haswaa
 
Last edited by a moderator:
karibu CC..utaelewa tuu
Unadhan wanawake wenzio
wote walio olewa walipost mitandaoni hivi? Wenzio walikua wanajieshim na
heshima ndio maana wameolewa... uko mtaan kwenu hakuna waoaji? Nadhan
tabia zako aziridhishi ndio maana uolewi
 
Ukipata wa kukuoa unambie nije kuwafungisha ndoa faster amu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom