Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Paloma atakubali kweli? sijui!
Mke wetu karidhia....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paloma atakubali kweli? sijui!
wii umeniita
Paloma atakubali kweli? sijui!
Nini tena......
sisemi mengi H.O.E mie
Vin Diesel alikuwa xxx wake Paloma.. Nalitambua hilo na ninampa heshima zake za kusaidia kunitunzia.. Halafu vle vle anamzengea dada yangu Heaven on Earth.. Hana madhara kwa sasa..Kumbe mna mke wewe na sosoliso!
najua wewe si msemaji....unajua kutenda....na uliyotenda ndio yametufikisha hapa tulipo
wii fanya mpango basi amu awe wifi yetu, kaka yetu anampenda ila tatizo mdomo wake umejaza zege tani moja hata kunyanyuka hauwezi!
sina la kusema Vin may be it was never meant to be.......
Vin Diesel alikuwa xxx wake Paloma.. Nalitambua hilo na ninampa heshima zake za kusaidia kunitunzia.. Halafu vle vle anamzengea dada yangu Heaven on Earth.. Hana madhara kwa sasa..
Kwa ukorofi wako....ngoja nije niandae uzi wa wanawake wenye tabia kama zako....na hii comment yangu ni post ya 6666....
Vin Diesel alikuwa xxx wake Paloma.. Nalitambua hilo na ninampa heshima zake za kusaidia kunitunzia.. Halafu vle vle anamzengea dada yangu Heaven on Earth.. Hana madhara kwa sasa..
hivi kuna binti mpole kaka mimi humu jamvin humu.....Unapiga teke fuko la Tanzanite