Na mimi ntajiunga FREEMASON ili niweze kuwafunika hao kina lara1, heaven on earth

lito jiniaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
205
Reaction score
77
Great thinkers(mmmhhh)hamjambo?

Huwa najiulza inakuwaje mm nnapo anzisha threads hazichangamkiwi km za hao wanaojidai vijogoo(sanasana huyo lara1,heaven on earth na wengne freemason) ss kwa taarifa yenu hata mm ni mpiganaj,I know how 2 take cake into ma mouth...SHORT CUTS ARE INNEVITABLE...

Mtanywea.. ntakuja hapa na MVUTO(ki2 freemason) tuone kama simtahama hiki kijiji(JF) mnadhan hainium
 
Leta mada moto moto.....mbona tutachangia sana......ukiandika kiFB ndio itakula kwako........
 
Hahahaaaaaaaa! Mi umenionea tu! Mwenyewe nataka niende kwa manyau nyau niwafunike kina The Boss, Mtambuzi Watu 8 and the K UNION (Kongosho, kingasti Kaunga) na ETAL Wakongwe wengine! Hawa watu ni TIMELESS!!!!!!!!! Sio wa MSIMU wao ni ALL WHEATHER!!!!!!!! Nahisi watakja kupewa LIFE TIME ACHIEVEMENT AWARD YA JF!!!!!!!!!

kufika ON TOP once or twice au for acertain time is easy! Ila kuMAINTAIN KUBAKIA ON TOP thats a challange!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah....eti freemason!!!
Just be yourself hakuna sababu ya kwenda piga ramli kwa vigagula...
Kwa hii thread yako kama haitafutwa na mods basi huu utakuwa mwanzo wa wewe kutushika...
 
Haahaahaahaahaahaa! We wataka kuchekesha jukwaa tu! Hivi kumbe kuna watu humu roho zinawauma wanapokosa wachangiaji wa thread zao? Hicho ni kijiba cha roho tu! Mkuu uchangiaji wa watu unategemea na mada yenyewe+ uandishi wako+lugha yako + n.k nk! Hakuna cha frimason hapo wala ndumba umeskia kuna hela humu? Afterall ukilogout tu ushaachana na members humu loh! Shauli yako we nenda tu huko frimason utashangaa hatukuoni tena humuu! Hahahahaaahaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
666 kama hiyo namba Unajua inamuwakilisha nani basi huenda ukawa Freemasons Tayari.
 
ukijiunga utaniaambia na mimi nijiunge huko maana mivito na mifedha nasikia njenje sijui ni kwelee
 
Hahahah....eti freemason!!!
Just be yourself hakuna sababu ya kwenda piga ramli kwa vigagula...
Kwa hii thread yako kama haitafutwa na mods basi huu utakuwa mwanzo wa wewe kutushika...

Mkuu umeamkaje?
Mkuu yale mawazo mgando (Wa 1 havai 2)
unauchukuliaje ukihusisha na hii mada?
.....
Mi sijui huyu mtu jinsia gani!!!!
 


uko tayari kuliwa?
 
ukishindwa kujiunga na freemason, basi anza madawa ya kulenya, utawapita tu, hasa huyu heaven on earth... Mrahisi sana kumpita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…