Na mimi ntajiunga FREEMASON ili niweze kuwafunika hao kina lara1, heaven on earth

Na mimi ntajiunga FREEMASON ili niweze kuwafunika hao kina lara1, heaven on earth

kwan lazima utoe uzi!!? si ubak kuwa mchangiaj? bak kuwa mshangiliaj timu inapokuwa ulingoni!
 
..ukweli ni kwamba kuijui namba haimaanishi tayari unakuwa fundimchundo huru a.k.a freemason..

Bado sijakuelewa! Hasa hiyo no haujaniambia inamuwakilisha nani!
 
kumbe ni wivu unakusumbua ila ONYO kwa wanaoshiriki huu WIVU kwani watakonda..nanukuu METHALI: ''wivu ni kidonda ukishiriki UTAKONDA''
 
...mpinga kristo...

Mpinga Kristo! Kwa lugha rahisi ni Uasi! Sasa huyu mleta maada ajaribu kuangalia kua hiyo Namba inayowakilisha Uasi Tayari inafanya kazi aangalie na Imani yake Kama inakwenda sawa na kanuni na sheria za Mungu!?
 
Back
Top Bottom