Na mimi ntajiunga FREEMASON ili niweze kuwafunika hao kina lara1, heaven on earth

Na mimi ntajiunga FREEMASON ili niweze kuwafunika hao kina lara1, heaven on earth

Tayari ushatake attention ya watu kibao humu, kweli we lito jiniaz a good technique indeed
 
Last edited by a moderator:
great thinkers(mmmhhh)hamjambo?
huwa najiulza inakuwaje mm nnapo anzisha threads hazichangamkiwi km za hao wanaojidai vijogoo(sanasana huyo lara1,heaven on earth na wengne freemason) ss kwa taarifa yenu hata mm ni mpiganaj,I know how 2 take cake into ma mouth...SHORT CUTS ARE INNEVITABLE...
mtanywea..ntakuja hapa na MVUTO(ki2 freemason) tuone km simtahama hiki kijiji(jf) mnadhan hainium

Ha ha ha ha.......Dahhh....
 
Hata mm nilivyosoma hapo nimecheka mpaka mchozi yani...Dahhhh
we acha kabisa!
yani mi ilikuwa ni asbh flani hv!
ujue nilichek kicheko kikubwa pmka niliona aibu!
eti UNAFIKIR HAINIUMI!
ahahahahhahhahahha
 
Jf is never boring - The Boss

sasa na wewe unazidi kumtesa mwenzio unamtaja the boss wa nini!
mwenzako ana machungu tayari we unaweka chumvi kwenye kidonda!
sio fresh hivo!
au UNADHANI HAIUMI?
 
tena huyo watu8 nataman hata ange be banned kabla sijamjua...nadhan yy anakaa pamojana lara 1 na hcho kiheaven on earth
 
Akili yake imefikia mwisho wa kufikiri!

ameamua kulipamba jukwaa leo c unajua wikend acha tufurahii afu kwa mara ya kwanza leo ndo atapata wachangiaji wengi,so ndo ameanza ushindani mkuu! Au siyo lito jiniaz ? Haahaahaaaahaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
tena huyo watu8 nataman hata ange be banned kabla sijamjua...nadhan yy anakaa pamojana lara 1 na hcho kiheaven on earth
kweli bana watu8 Heaven on earth na lara 1
wanakaa nyumba moja
wanakera sana kwa kweli
ila saasa tutafanyaje tupate maelekezo ya kujiunga na freemason?
mi mwenywe natamani wapigwe ban!

basi tumwambie Mtambuzi atuelekeze!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom