Na mimi ntajiunga FREEMASON ili niweze kuwafunika hao kina lara1, heaven on earth

Na mimi ntajiunga FREEMASON ili niweze kuwafunika hao kina lara1, heaven on earth

Sio lazima uandike mada hatakusoma tu ya tosha au kuchangia.---- wew
 
Hahahaaaaaaaa! Mi umenionea tu! Mwenyewe nataka niende kwa manyau nyau niwafunike kina The Boss, Mtambuzi Watu 8 and the K UNION (Kongosho, kingasti Kaunga) na ETAL Wakongwe wengine! Hawa watu ni TIMELESS!!!!!!!!! Sio wa MSIMU wao ni ALL WHEATHER!!!!!!!! Nahisi watakja kupewa LIFE TIME ACHIEVEMENT AWARD YA JF!!!!!!!!!

kufika ON TOP once or twice au for acertain time is easy! Ila kuMAINTAIN KUBAKIA ON TOP thats a challange!!!!!!!!!
Nimesikitika sana jina la Mentor halipo kwenye list yako....Yule jamaa pamoja na kupuliza ule Jani. He'z a great story teller
 
Last edited by a moderator:
kwa kuwa umedhamiria nenda pale POSTA utakuta "freemasons hall" lipo mkabala na njia ya kuingia benki kuu,PALE UKIFIKA UTAPEWA TARATIBU ZOTE.
Ila nishaambiwa hawachukui tu kila mtu ni mpaka uwe na kitu fulani cha kipekee.AMA MTAFUTE SIR ANDY CHANDE atakupa utaratibu mana yeye ilimgarimu miaka 8 kujiunga.
LAKINI JUA UTAKUWA UMECHAGUA NJIA YA KWENDA KWA SHETANI KWA SABABU ZA KIPUMBAVUUUU na HAO NI MASHETANI.
 
dont dare 2 compare ursef wit anybdy in the world, by doin so ts lyk insulting ursef! 1 day u'll make t!!
 
The Boss aliwahi kuchangia kwa maneno haya uzi fulani humu, "JF never boring" sasa ndio nimemuelewa!
 
Vitu vyenyewe unavyoandika havieleweki nenda huko kwa free mansory ukaoshe nyota na
 
Nadhani jamaa kaamua tu kufurahisha kijiwe kama sio klifanya jinale nalo likumbukwe...

Mkuu umeamkaje?
Mkuu yale mawazo mgando (Wa 1 havai 2)
unauchukuliaje ukihusisha na hii mada?
.....
Mi sijui huyu mtu jinsia gani!!!!
 
Teh teh teh! amenifurahsha sana,ila smts inabore unapost thread hata ya kuomba ushaur hamna anayeipitia, jaman badrken,hayo n makuvu live sio wote tuliyojariwa maneno ya mvuto lakn nyuz znaeleweka!
 
Haaaa haaaa haaaaaa haaaaaaa haaaaaaa, dah!
Kaka mkubwa pm inasomaje? (capacity I mean).
Nimefurahi xn aisee..

Mambo niaje mkuu...naona umehariri kidogo nomino yako...
PM pangu pakavu tu hata chuzi hakuna...
 
Back
Top Bottom