ukishindwa kujiunga na freemason, basi anza madawa ya kulenya, utawapita tu, hasa huyu heaven on earth... Mrahisi sana kumpita
mmh!? Mkuu aliwe nini?
great thinkers(mmmhhh)hamjambo?
huwa najiulza inakuwaje mm nnapo anzisha threads hazichangamkiwi km za hao wanaojidai vijogoo(sanasana huyo lara1,heaven on earth na wengne freemason) ss kwa taarifa yenu hata mm ni mpiganaj,I know how 2 take cake into ma mouth...SHORT CUTS ARE INNEVITABLE...
mtanywea..ntakuja hapa na MVUTO(ki2 freemason) tuone km simtahama hiki kijiji(jf) mnadhan hainium
duh!
hii kali kuliko!
umeniacha hoi ulivyosema unafikr hainiumi?
we acha kabisa!Hata mm nilivyosoma hapo nimecheka mpaka mchozi yani...Dahhhh
ss ww Edison akil yangu unaidharau kwann? ukitolewa kafara usilaumu
Jf is never boring - The Boss
si freemason huwa wanatoa kafara na ya kunywa damu na kula nyama?....lol!!!!!!!!!SO ANAWEZA AKALIWA
mwenye kujua jins ya kujiunga na frmason ani PM
Akili yake imefikia mwisho wa kufikiri!
kweli bana watu8 Heaven on earth na lara 1tena huyo watu8 nataman hata ange be banned kabla sijamjua...nadhan yy anakaa pamojana lara 1 na hcho kiheaven on earth
id yake inasadifu hilo!