Nimesikitika sana jina la Mentor halipo kwenye list yako....Yule jamaa pamoja na kupuliza ule Jani. He'z a great story tellerHahahaaaaaaaa! Mi umenionea tu! Mwenyewe nataka niende kwa manyau nyau niwafunike kina The Boss, Mtambuzi Watu 8 and the K UNION (Kongosho, kingasti Kaunga) na ETAL Wakongwe wengine! Hawa watu ni TIMELESS!!!!!!!!! Sio wa MSIMU wao ni ALL WHEATHER!!!!!!!! Nahisi watakja kupewa LIFE TIME ACHIEVEMENT AWARD YA JF!!!!!!!!!
kufika ON TOP once or twice au for acertain time is easy! Ila kuMAINTAIN KUBAKIA ON TOP thats a challange!!!!!!!!!
haahaahaa! Dah! Shauli yake! Lakini nawewe ushawah kuonja nini huko ukakoswakoswa umejuaje kama wanakula watu! Teh
tena huyo watu8 nataman hata ange be banned kabla sijamjua...nadhan yy anakaa pamojana lara 1 na hcho kiheaven on earth
Mkuu ww unajua hizo nö {666} zinamuakilisha nani?
Zinawakilisha uasi.....! Au wewe unafahamu vp unisaidie?
.....
Jee na ww Fremason?
Hamia ile jamii forum ya marekani inaitwa #Sciforums labda utapata reply nyingi.
Mkuu umeamkaje?
Mkuu yale mawazo mgando (Wa 1 havai 2)
unauchukuliaje ukihusisha na hii mada?
.....
Mi sijui huyu mtu jinsia gani!!!!
Utakua umejambwa wewe si bure...:becky:
Haaaa haaaa haaaaaa haaaaaaa haaaaaaa, dah!
Kaka mkubwa pm inasomaje? (capacity I mean).
Nimefurahi xn aisee..