666 kama hiyo namba Unajua inamuwakilisha nani basi huenda ukawa Freemasons Tayari.
Aya wewe mkweli Basi una lipi la kuniambia?
..ukweli ni kwamba kuijui namba haimaanishi tayari unakuwa fundimchundo huru a.k.a freemason..
Bado sijakuelewa! Hasa hiyo no haujaniambia inamuwakilisha nani!
...mpinga kristo...