Na Pesa Yetu.. This is Why You Don't Buy Planes in Cash

Na Pesa Yetu.. This is Why You Don't Buy Planes in Cash

Hahahaha, they wouldn't be able to reach that level, out of its 100 planes, less than 15 are leased planes, put your records clear, it is only a stupid country like Kunya land which can operate a business with 93% leased planes.

And we will make it 100%.
Mtameza wembe.

Every African has heard of Kenya Airways. Loves the brand.
Tanzania sifa hakuna.
 
Hahahaha, vipi wananchi na rais wenu analalamika kwamba nchi yenu haiwezi kujilisha kwasababu ardhi ya kuzalisha chakula ni ndogo wakati mtu mmoja mumempa ardhi tena mzungu mumempa ardhi ambayo ingetosha kuzalisha chakula kwa nchi nzima na kuondokana na aibu ya kutupigia magoti kila mwaka?. Kumbuka hakuna Uhuru wa kweli kama huna uwezo wa kujilisha.

Mbona Mungiki wameamua kuingilia kati na kumtisha Del Monte ili arudishe ardhi kwa wananchi, ina maana wao hawazioni hizo faida unazozitaja wewe?. Kenya bado inaongoza kwa ukosefu wa ajira, Ukosefu wa chakula, na wananchi wake kukosa ardhi ya kulima, wengi wamekimbilia Tanzania kutafuta ardhi wakati ardhi yenu mumewapa wazungu kulima mananasi. "Kenya not yet Uhuru".

Del Monte aliye iitisha ardhi ni serikali za kaunti za Muranga na Kiambu.
Na hata wakipewa, hii ardhi haitapewa yeyote. Ni mali ya serikali. Muranga inataka kujenga chuo kikuu, Kiambu sijui nia yao.

Kenya chakula ni kingi. Wanaolia njaa ni Turkana ambapo hakuna usafiri mzuri wa kufikisha chakula. Pia wao utamaduni wao wa kuhama hama na wanyama umepitwa na wakati.
Watulie kama wakenya wengine walime ama wafanye kazi ingine.
 
pipeline iko wapi?

Bagamoyo iko wapi?

SGR haijafika hata Pugu...week Reli ya Pugu canis lupus.

Strugglers gorge iko wapi?

Kinyesi 123?

Kibaka Highway Niko 100%sahihi haijakamilika.

ATCL Niko 100% haijakombolewa

Bado Mimi mwasiti Ni kilaza ila nimesema ukweli.
Nani kakwambia reli hata Pugu haijafika???
1)Phasei 1 Dar to Kirosa ipo 70% phase two Morogoro to Singida iko 15% nadhani hapo utanielewa.Na earth work phase 1 tayar imebaki daraja tu.
2)Stiglers ujenzi ushaanza na pesa imelipwa mwaka huu subiri muda tulioahidiwa ukipita pasi na kukamilika ndio useme kuwa hatujafanya kitu.
3)ATCL sooner if not soonest ile ndege ya Airbus 200-300 itarejeshwa na twasubiri roots za China na UK maana za Mumbai India zinafanya vema.
4)Pipe line bado ipo under construction na muda wake bado haujapita wacha kazi iendelee.
5)Bagamoyo kutokana na masharti nyonyezi ya Wachina ya mkopo ikasitishwa maana hatukutaka tuingie ktk hell km mnavyopapaswa nyie ktk SGR na Chinese.

MWASITIIII UNA LINGINE LA KUULIZA ???!!!!!!
 
Takwimu zako uchwara hzo punguza.

Poorest Countries in the World
Not only are African countries very poor on their own, but when compared to the rest of the world, the top five poorest countries on Earth are all African nations. In order of the most poor nations, the top five poorest countries are…
The Central African Republic
Burundi
The Democratic Republic of the Congo
Niger
Malawi
Tanzania ni ya top 5 kwa namba ya walio maskini.

India, Nigeria, Ethipiopia, Tanzania.
Over 40 million Tanzanians live below $1.9 a day.
 
Tz ni nchi pekee mtu hata km ana kipato cha chini halali njaaa i wonder Nairobi kuna walala njaa wengi
Tanzania is man eat nothing society.
Ukitoa waarabu wachache bilionaire, everyone else is a pauper.
 
Takwimu zako uchwara hzo punguza.

Poorest Countries in the World
Not only are African countries very poor on their own, but when compared to the rest of the world, the top five poorest countries on Earth are all African nations. In order of the most poor nations, the top five poorest countries are…
The Central African Republic
Burundi
The Democratic Republic of the Congo
Niger
Malawi

Tunaongea kuhusu total population ya extreme poor.
Sio percentage ama gdp per capita.

Tanzania top 5 in the world.

tz.JPG
 
pipeline iko wapi?

Bagamoyo iko wapi?

SGR haijafika hata Pugu...week Reli ya Pugu canis lupus.

Strugglers gorge iko wapi?

Kinyesi 123?

Kibaka Highway Niko 100%sahihi haijakamilika.

ATCL Niko 100% haijakombolewa

Bado Mimi mwasiti Ni kilaza ila nimesema ukweli.
Tulia dawa ikuingie mnakuja kusaka mahindi na waganga huku tz sio
 
KQ is releasing their half year financial report today and the results are encouraging.
 
There is a certain airline that has never released their financial report.
 
KQ and ATCL were founded in the same year.
One carries almost 5 million passengers a year, the other is having its plane being grounded.
Meza wembe.
KQ carries almost 5 Million PXS, ironically is bankrupt with only 3 planes, ATCL carries few passengers but has got six new planes. Akili za wakenya ni ndogo sana, hamuwezi lolote zaidi ya " Corruption, tribalism and Jealous ".
 
And we will make it 100%.
Mtameza wembe.

Every African has heard of Kenya Airways. Loves the brand.
Tanzania sifa hakuna.
Zaidi ya sifa za kijinga nini tena KQ inaleta hapo Kenya kama sio mzigo wa Madeni unaozidi kuwaelemea wakenya ambao hata chakula hawawezi kununua wanategemea chakula cha msaada?
 
Zaidi ya sifa za kijinga nini tena KQ inaleta hapo Kenya kama sio mzigo wa Madeni unaozidi kuwaelemea wakenya ambao hata chakula hawawezi kununua wanategemea chakula cha msaada?

JKIA has twice as much traffic as all airports in Tanzania combined.
KQ is responsible for 4 million of that.

Tanzania is meanwhile the same old LDC.
 
KQ carries almost 5 Million PXS, ironically is bankrupt with only 3 planes, ATCL carries few passengers but has got six new planes. Akili za wakenya ni ndogo sana, hamuwezi lolote zaidi ya " Corruption, tribalism and Jealous ".

Yeah. If you are lying to yourself your 3 planes can carry 5 million passengers, get your head checked.

ATCL has been bankrupt since day one. Never announces results because it would be the embarrassment of the decade for Makufuli.
ATCL is funded by money you should be using for education. At least that way Tanzanians would be able to compete with Kenyans.
 
Del Monte aliye iitisha ardhi ni serikali za kaunti za Muranga na Kiambu.
Na hata wakipewa, hii ardhi haitapewa yeyote. Ni mali ya serikali. Muranga inataka kujenga chuo kikuu, Kiambu sijui nia yao.

Kenya chakula ni kingi. Wanaolia njaa ni Turkana ambapo hakuna usafiri mzuri wa kufikisha chakula. Pia wao utamaduni wao wa kuhama hama na wanyama umepitwa na wakati.
Watulie kama wakenya wengine walime ama wafanye kazi ingine.
Hii tabia yenu ya kupenda kujisifia ndio inayowagharimu, Kenya kamwe hamuwezi kuendelea kama mtaendelea kupenda maisha msiyoweza kuishi.

Kenya lazima mjifunze kuwa " Honest people", Kenya ninyi ni nchi ya hovyo sana, bila mapinduzi kama Sudan hamfiki popote. Akili zenu ni ndogo sana na hamjui lolote. Wewe unasema Kenya chakula kipo, msikilize rais wake, ndio utagundua ni kiasi gani akili yako ilivyo ndogo Sana.
 
Bongolala. The US is the biggest importer of food in the world, followed by China.
Nyinyi endeleeni na ukulima, sisi tutaendelea na viwanda.

US food imports - $133 billion
China food imports - $105 billion
Germany food imports - $98 billion
Japan food imports - $68 billion
UK food imports - $66 billion
.
.
.
.
Kenya food imports - Less than $0.5 billion

Even the maize we pay your farmers peanuts to sell to us, comes to be processed in Kenya. We don't buy processed food from you.

Wewe huna akili, hizo nchi sio Agricultural country, hizo hazilimi, Japan 2% ya wananchi wao ndio wakulima, bado wanawapeni msaada wa chakula, wakati Kenya 80% ni wakulima.

Lini umesikia hizo nchi zinapokea msaada wa chakula, au watu wake wanakufa kwa njaa?
 
Yeah. If you are lying to yourself your 3 planes can carry 5 million passengers, get your head checked.

ATCL has been bankrupt since day one. Never announces results because it would be the embarrassment of the decade for Makufuli.
ATCL is funded by money you should be using for education. At least that way Tanzanians would be able to compete with Kenyans.

Hehehe!! This is brutal...
 
Back
Top Bottom