Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 3,132
- 5,508
Ninajua Wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta pale.
Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za kiyahudi, mchezo wa kitoto sana huu, basi tu kwa kuwa mungu wao marekani ana hela ila natamani leo kesho wasambaratike
Shida ni moja kuhusu Wapalestina wamejinasibisha wao wapo upande wa Uarabuni na Uislamu, ninafahamu Palestina ina wakristu wengi kuliko Israeli ila hawana sauti wala nafasi alawakbalu ni nyingi sana kuliko diplomasia na mataifa ya ulimwengu
Ila Israeli siipendi jamani daah