Kihebrania wanachozungumza hao leo huko israel; kimetengenezwa upya kupitia Zionists project waliyoiita "kurevive Hebrew Language" miaka tu ya hivi karibuni. Walitumia Kiarabu kutengeneza upya hiyo lugha kwa kuwa wanaamini Kiarabu ni lugha iliyo close na Kihebrania. Kihebrania halisi walichozungumza Daudi na Suleiman siyo hiki cha leo. Kilipotea waliposambaa dunia nzima, ila walibaki na maneno machache ya hapa na pale.
unaweza kupata maelezo zaidi hapa:
The religious language that lay dormant for millennia is now global, used by millions of people around the world—including in China.
www.nationalgeographic.com