Na Ukristo wangu huu ninaichukia the so called Israel hadi natetemeka

Na Ukristo wangu huu ninaichukia the so called Israel hadi natetemeka

Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe katika hoja nyingi unazoziwasilisha,

Sasa kwa bahati mbaya waislamu na wakristu wasiokuwa na akili pia wamaejinyima maarifa wanashindwa kukubali huu ukweli na kukumbatia chuki za kijinga tu kwa miendesho ya kidini
Hawaisomi vyema Qur'an tukufu. Na hao wengine hawaisomi sawa sawa Biblia takatifu.
 
Waisrael wamelaaniwa hawawezi kukaa katika ardhi kwa amani, na kwa mujibu wa maelezo ya kitafiti ni kuwa waisrael wanauweusi flani hiviii sio pure white kama kina netanyahu.

Ila itachukua muda mrefu sana kwa wakristo wafuata upepo (mfano wako) kuufahamu ukweli!!!!
Hizi ndizo hadithi mnapeana uko masijid na mwishowe mnaenda kujilipua ili mkarithi bikira 72.
Eti wamelaani hizo ngano.
 
Huko USA vizazi vingapi vimekaa? Mfano halisi ni huu wa USA uliosema Kuna weusi wengi Wana vinasaba na mataifa ya Nigeria, Ghana na Senegali je bado unawafanya wao kuwa raia wa mataifa hayo?
Wabongo bhana 🙌 swali linajibiwa kwa swali
 
Ndo washapotea hivyo, walikuwa wapi kabla ya vita ya pili ya Dunia?

Yaani nyie ndo target ambazo marekani na uingereza walizilenga, walijuwa tu pale hata wangeweka mbuzi na kuwaita Israeli mngekubaliana nao tu kwa kuwa mnaendeshwa na mihemko ya kidini bila ya kureason
Kureason utareason wewe maamuma tabolarasa usiyejua chanzo cha kweli cha historia ya huo ugomvi?
Hujui hata jews walikuwa wapi before, unapelekeshwa tu kimaamuma oooh wayahudi nawachukia sana...
Wewe ndo yule ambaye yuko tayari kuvalishwa mabomu ukaue watu kwa ahadi ya pepo ya mabikira 72 na mito ya pombe
 
Mimi ni mkristu wa kuzaliwa kuishi na kufa kwahiyo hiyo rejea ya na nafsi isikufanye ukatoka kwenye mantiki na lengo ni kukupa utimamu, hata Yesu alikuwa myahudi na aliwasema wayahudi kwa urejeo wa nafsi zao
Hongera kwa huo ukristo wako ambao unakutuma uutumie kujengs hoja zisizo na mashiko.
 
"Dini za watu" akina nani? Wachaga?

Kusema Mimi mkristu ni kuwaonesha wakristu wenzangu sio wote wanaendeshwa na fikra jumuishi zisizo na mantiki...

Ni kama hapa ulivyokasirika kwa kuwa Israeli imeongelewa kwa kutopenda wewe, Ni kwanini umekasirika? Kwa sababu umuamvatanisha uisraeli na ukristu na wewe ni mkristu hivyo Israel ikiongelewa kinyume na fikra jumuishi unazoziishi unaumia, lakini kwa mkristu Mimi hiyo ni tofauti kwangu,😇
Wachaga wana dini zao siyo hiyo uliyoitaja wewe. Hakuna aliyekasirika ila nakushangaa unapotumia ukristo kwenye hoja ambayo haihitaji ukristo.
 
Ninajua Wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta pale.

Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za kiyahudi, mchezo wa kitoto sana huu, basi tu kwa kuwa mungu wao marekani ana hela ila natamani leo kesho wasambaratike

Shida ni moja kuhusu Wapalestina wamejinasibisha wao wapo upande wa Uarabuni na Uislamu, ninafahamu Palestina ina wakristu wengi kuliko Israeli ila hawana sauti wala nafasi alawakbalu ni nyingi sana kuliko diplomasia na mataifa ya ulimwengu

Ila Israeli siipendi jamani daah
Nani anaye kuambia wa Palestine wa Islam hawana asili ya pale hao ndio wajukuu khalisi wa Yakobo ambao walifata mafunzo ya Yakobo sababu alikuwa mfata dini haswa mpaa akaitwa Israel.

Yakobo anaweza kuwa alitokana na kizazi cha Ishaq ambaye mama yake alikuwa Myahudi lakini kuna tofouti kati ya dini na ukoo sio wayahudi wote dini yao Wayahudi, wako Waislam pia, kama vile sio Warabu wote waislam wako wayahudi na wakristo pia umenifahamu.


Sababu Mungu anawachallenge wayahudi na Wakristo kama Ibrahim mnasema ni Mkristo au Myahudi leteni dalili zenu.

مَا كَانَ إِبْرَٰهِيمُ يَهُودِيًّۭا وَلَا نَصْرَانِيًّۭا وَلَـٰكِن كَانَ حَنِيفًۭا مُّسْلِمًۭا وَمَا كَانَ مِنَ ٱلْمُشْرِكِينَ ٦٧

Abraham was neither a Jew nor a Christian, but he was one inclining toward truth, a Muslim [submitting to Allāh]. And he was not of the polytheists.1
 
Ukiona hivyo ujue wewe ni mpagani mwenzetu, maana Mungu wa wakristo ni Mungu wa Israel hiyo iko wazi hata shetani anajua.
 
Hizi ndizo hadithi mnapeana uko masijid na mwishowe mnaenda kujilipua ili mkarithi bikira 72.
Eti wamelaani hizo ngano.
Haya lete maelezo yako yenye ukweli kuhusu race ya waisrael halisi!
 
Kureason utareason wewe maamuma tabolarasa usiyejua chanzo cha kweli cha historia ya huo ugomvi?
Hujui hata jews walikuwa wapi before, unapelekeshwa tu kimaamuma oooh wayahudi nawachukia sana...
Wewe ndo yule ambaye yuko tayari kuvalishwa mabomu ukaue watu kwa ahadi ya pepo ya mabikira 72 na mito ya pombe
Hebu nipe wewe hiyo history
 
Back
Top Bottom