Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo utetezi wako huo?Niambie walipo wamisri wa kale nami nikuoneshe waisraeli wa kale
Maneno yako ni sawa kabisa adui wa Gabriel ni Shetani tu, kwani madui wa Mohammed ni nani kama sio Mashetani hapo ni 💯Hahaha kwahiyo sisi hatujuibkusoma au hatuelewi kinachomaanishwa adui wa malaika Gabriel ni shetani tu, shetani ni roho hivyo hivyo kwa malaika pia ni roho hao ndiyo huwa na uadui baina yao, uadui kati ya roho ya uasi yaani shetani na roho ya utii ambao ni malaika wa Mungu
Kwahiyo adui wa Gabriel ni shetani ambaye ndiye aliyeishudha kuluwani
Waliambiwa watashikilia malango ya adui zaoNdio maana yangu hio
Wakiwa sehemu yeyeto, hivi ndio wanafanya, sasa kwa nchi za ulaya miaka ya 19 kweusi walishikilia uchumi na kuwafanya wazawa kuwa masikini wa kutupwa, fikiria ndio wangekuwa na nguvu ya kidola, wangekuwa wanachinja wazungu, ndio maana unaona mpaka leo nchi nyingi za ulaya mpaka US kuna vikundi vinavyopinga sana uwepo wao, sababu ya historia.
Sasa kwa mashariki ya kati, wana eneo lao kabisa, hapa ndio unao makucha yao halisi ya kinyama
Dunia hii hakuna mkazi halali, wote niwapitaji, swala la muda tuuNinajua Wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta pale.
Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za kiyahudi, mchezo wa kitoto sana huu, basi tu kwa kuwa mungu wao marekani ana hela ila natamani leo kesho wasambaratike
Shida ni moja kuhusu Wapalestina wamejinasibisha wao wapo upande wa Uarabuni na Uislamu, ninafahamu Palestina ina wakristu wengi kuliko Israeli ila hawana sauti wala nafasi alawakbalu ni nyingi sana kuliko diplomasia na mataifa ya ulimwengu
Ila Israeli siipendi jamani daah
"...aliyekuwa adui wa Jibril basi huyo ndiye alieteremsha kuran moyoni mwako.."Maneno yako ni sawa kabisa adui wa Gabriel ni Shetani tu, kwani madui wa Mohammed ni nani kama sio Mashetani hapo ni 💯
Afu endelea kuisoma aya usisimame hapo tu inasema Mwambie Shetani of course shetani anawafuasi wake binadamu pia kama nyie.
Mungu anamuambia Muhammad basi hi Qur'an kaishusha Gabriel kwake kwa sababu Mungu ndio kataka.
Kumbe kizungu kipo zero dogo hata hufahami kilicho andikwa 😄
Dogo wacha kukwepesha ukweli Mungu anasema yoyote ambaye anamchukia Gabriel basi mwambie Gabriel ndio kashusha hi Qur'an kwenye Moyo wako kwa Amri ya Mungu"...aliyekuwa adui wa Jibril basi huyo ndiye alieteremsha kuran moyoni mwako.."
Sasa hapa kipi kisichoeleweka 😂
Na nyie wenyewe mnatbiaga kuluwani imeshushwa, wewe hapo unapindua maneno unasema aliyeiteremdha kuluwani ni Gabriel wakati kuluwani yako inasema adui wa Jibril ndo aliyeiteremdha, shtuka ndugu unapigwa huko
Yaani sijui utasema nini ukaeleweka tofauti na kuluwani yako inavyosemaDogo wacha kukwepesha ukweli Mungu anasema yoyote ambaye anamchukia Gabriel basi mwambie Gabriel ndio kashisha hi Qur'an kwenye Moyo wako kwa Amri ya Mungu
Say, ˹O Prophet,˺ “Whoever is an enemy of Gabriel should know that he revealed this ˹Quran˺ to your heart by Allah’s Will, confirming what came before it—a guide and good news for the believers.”

We kichaa huna jipya nenda kasome kizunguYaani sijui utasema nini ukaeleweka tofauti na kuluwani yako inavyosema
Acha kutumia Taqiyya uislam wa kweli unamtaka Muslim ku dominant kila kitu ndio chanzo cha chuki uonevu na mabaya yote...Wengi wao wanakwenda vyuoni kusomeshwa ujinga
Mwenye akili hawezi tumia mfano kuelezea watu hiyo Aya kwani Abraham ndie chanzo cha Jews and Christians sababu uzao wake ndio umeleta yote. And pia Muslim sio submitting Bali tafsiri yake ni Surrender tena in War jifunzeni kiarabu hayo mabano uongo mtupu Taqiyya. Wafuasi wa mtume waliitwa believers hadi ulazimishaji ulipoanza ndipo unasurrender (muslims) bila imani kisha unakuwa believer. Kusurrender kulishika kasi ndio mkaitwa Muslims. Not submitting acheni kueneza dini yenu kwa kutumia uongo watu wakijua wanauacha zamani wakiacha wanauliwa kwa dunia ya sasa baadhi ya nchi wanaua bado..Nani anaye kuambia wa Palestine wa Islam hawana asili ya pale hao ndio wajukuu khalisi wa Yakobo ambao walifata mafunzo ya Yakobo sababu alikuwa mfata dini haswa mpaa akaitwa Israel.
Yakobo anaweza kuwa alitokana na kizazi cha Ishaq ambaye mama yake alikuwa Myahudi lakini kuna tofouti kati ya dini na ukoo sio wayahudi wote dini yao Wayahudi, wako Waislam pia, kama vile sio Warabu wote waislam wako wayahudi na wakristo pia umenifahamu.
Sababu Mungu anawachallenge wayahudi na Wakristo kama Ibrahim mnasema ni Mkristo au Myahudi leteni dalili zenu.
مَا كَانَ إِبْرَٰهِيمُ يَهُودِيًّۭا وَلَا نَصْرَانِيًّۭا وَلَـٰكِن كَانَ حَنِيفًۭا مُّسْلِمًۭا وَمَا كَانَ مِنَ ٱلْمُشْرِكِينَ ٦٧
Abraham was neither a Jew nor a Christian, but he was one inclining toward truth, a Muslim [submitting to Allāh]. And he was not of the polytheists.1
Walifanyalo hawa jamaa wa Ulaya Mashariki si geni kujifanya wao ni Wayahudi, mbona hata hapa Tanzania kuna Wakristo kibao wanajihesabia wao kuwa ni Waisrael, labda Mkristo wewe tu uko tofauti.Ninajua Wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta pale.
Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za kiyahudi, mchezo wa kitoto sana huu, basi tu kwa kuwa mungu wao marekani ana hela ila natamani leo kesho wasambaratike
Shida ni moja kuhusu Wapalestina wamejinasibisha wao wapo upande wa Uarabuni na Uislamu, ninafahamu Palestina ina wakristu wengi kuliko Israeli ila hawana sauti wala nafasi alawakbalu ni nyingi sana kuliko diplomasia na mataifa ya ulimwengu
Ila Israeli siipendi jamani daah
Waisraeli wa asili ni sisi wamasai.Uwe kristo usiwe kristo yote sawa tu. Swali. Kwanini watu wakisema wale siyo waisrael na hamsemi waisrael ni kina nani na wapo wapi kwa Sasa?.na wakati wapi walikua wapi?. Maana ni Kama mnamaanisha waisrael hawapo duniani kwa Sasa. Ila mnaogopa kupigwa maswali mkashindwa kujibu.
Na nyie muwe mnafichaga uchi wa hii quran yenu ili tusiuone utupu wake ulivyo.Nani anaye kuambia wa Palestine wa Islam hawana asili ya pale hao ndio wajukuu khalisi wa Yakobo ambao walifata mafunzo ya Yakobo sababu alikuwa mfata dini haswa mpaa akaitwa Israel.
Yakobo anaweza kuwa alitokana na kizazi cha Ishaq ambaye mama yake alikuwa Myahudi lakini kuna tofouti kati ya dini na ukoo sio wayahudi wote dini yao Wayahudi, wako Waislam pia, kama vile sio Warabu wote waislam wako wayahudi na wakristo pia umenifahamu.
Sababu Mungu anawachallenge wayahudi na Wakristo kama Ibrahim mnasema ni Mkristo au Myahudi leteni dalili zenu.
مَا كَانَ إِبْرَٰهِيمُ يَهُودِيًّۭا وَلَا نَصْرَانِيًّۭا وَلَـٰكِن كَانَ حَنِيفًۭا مُّسْلِمًۭا وَمَا كَانَ مِنَ ٱلْمُشْرِكِينَ ٦٧
Abraham was neither a Jew nor a Christian, but he was one inclining toward truth, a Muslim [submitting to Allāh]. And he was not of the polytheists.1
Nenda ubalozi wa israel ukatoe kero yako usife na kihoro.Ninajua Wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta pale.
Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za kiyahudi, mchezo wa kitoto sana huu, basi tu kwa kuwa mungu wao marekani ana hela ila natamani leo kesho wasambaratike
Shida ni moja kuhusu Wapalestina wamejinasibisha wao wapo upande wa Uarabuni na Uislamu, ninafahamu Palestina ina wakristu wengi kuliko Israeli ila hawana sauti wala nafasi alawakbalu ni nyingi sana kuliko diplomasia na mataifa ya ulimwengu
Ila Israeli siipendi jamani daah
Ukweli ni kwamba Uislam si dini na ubaya ni kwamba wafuasi wake hawataki kukaa na kujitathimini hata kidogo. Jiulize, inakuwaje mtu anasali mara 5 kwa siku na mwisho wa siku anafuga majini ya kuibia watu na kutesa wenzao, hivi ndiyo Allah anayataka kweli haya? Mohammed alikuwa muongo sana, tabiri zake zilikuwa na mashaka mno na ndiyo maana alizungukwa na watu wasio jitambua akili.Acha kutumia Taqiyya uislam wa kweli unamtaka Muslim ku dominant kila kitu ndio chanzo cha chuki uonevu na mabaya yote...
Ndio maana mtume wenu kabla hajafa alisema msichukue yale ya kinywani kwake Bali fuateni Quran akaomba karatasi aandike msipotee wafuasi wake wakakataa kumpa.. ndio maana Muslim wamepotea imefika Shia anamuita sunni kafir sio Muslim na Suni anamuona Shia kafir kabisa sio Muslim.. hata Shehe Jalala anawaambia Suni Mtume wenu mohamad as if yeye sio mtume wake.
Mohammad aliwaambie mtagawanyika sect 71 na sect moja tu ya waislam ndio wataenda Peponi utabiri wa uongo sababu waislam wamegawanyila madhehebu zaidi ya elfu and wote mtaenda motoni kwa kulataa mafunzo ya Yesu Injir
Zaidi alasema Wakristo nao sect moja tu kati ya 72 ndio wataenda peponi pia na Sabian waabudu Nyota nao wataenda peponi