Taifa la Israel lilikuwepo tangu hata kabla ya Yesu kuja. Waroma baada ya kuwapiga wayahudi mwaka wa 70AD, kwa chuki zao kwa Taifa hilo walipapa Jina Palestine. Wakati huo hakukuwa na Mwarabu hata mmoja. Wayahudi wengi walipelekwa uhamishoni lakini wachache walibaki na wengine walifamikiwa kukimbilia mataifa ya karibu ya Urarabuni ndiyo maana hata wakati mtume yupo kulikuwa na wayahudi kule Madina. Mtume naye aliua wayahudi wengi huko madina kwenye ile vita wanaiita Khaybar 627 AD.
Mwaka wa 638 Waislam wali amia Jerusalem Wakiongozwa na
Abu Ubaydah. Uvamizi huu ulifikia mwisho wakati wa vita ya wakristo kuikomboa Jerusalem mwaka 1,100 AD. Lakini Tena wavamizi wa kiislam wakiongozwa na Ottoman Empire Waliichukua nchi hiyo pamoja na maeneo ya jirani ya Jordan na Syria. Uvamizi huo wa waislam ulifikia tamati wakati wa vita kuu ya kwanza, kwani Ottoman Empire walikuwa washirika wa Ujerumani. United Nations League iliyakabidhi maeneo hayo kwa Uingereza ikiyaita “British Mandate for Palestine” kwa kuendeleza Jina walilokuwa wamelitokeza
Sikiliza, israel imekuwepo tangu hata Yesu hajaja Duniani. In fact bible na hata Quran yenu inatambua kwa hiyo nchi wamepewa wana wa Israeli (Quran 5:21-22). Waisraeli wamekuwa na historia ya kupelekwa utumwani, lakini baadae Mungu anawarudisha nchini kwao. Mara ya kwanza Nebukadneza mfalme wa Bibiloni aliwapeleka utumwani mwaka wa 607 BCE hatimaye mungu aliwarudisha baada ya miaka 70 kama alivyoahidi. Wakati Yesu yupo waisraeli wote zile kabila 12 zilikuwa kwenye nchi yao. Baada ya Yesu kurudi mbinguni, mwaka wa 70 Waroma waliteka Jerusalem, wakaua Waisraeli wengi na wengine wakawapeleka utumwani. Hata hivyo, wako baadhi ambao walitii Agizo la Yesu ktk Luka 21:21 kukimbilia milimani walipona na kuendelea kuishi hapo. Licha ya kuwapeleka utumwani Waisraeli, Taifa la Roma likaendelea kuitawala Israel. Kutokana na chuki zao kwa Wayahudi wakadhamilia kuipoteza kabisa Israel hivyo wakaita eneo hilo ya Nchi Takatifu PALESTINE. PALESTINE ILIJUMUISHA KUSINI MWA SYRIA, SAMARIA NA JUDEA PAMOJA NA JORDAN.
Vile vile Biblia ktk Luka 21:24 ilitabiri kuwa Jerusalem lingekaliwa na watu wa Mataifa kwa muda fulani na hatimaye likarudishwa kwao muda utakapotimia.
Waisraeli waliendelea kufanikiwa kimaisha na kibiashara hata waliweza kuwa wakazi wenye ushawishi kwenye nchi nyingi za kiarabu ikiwa ni pamoja na Madina.
Mohammad alipokuja aliendesha kampeni ya kuwaua wayahudi kule Madina mwaka 627 AD ktika vita Khaybar.
Vile vile baada ya Mohammed kufa Khalifa wake anayeitwa Umar walivamia Jerusalem 638AD na kuliteka jiji hilo na kulikalia mpaka 1099AD, ambapo walishindwa vita na Christian Crusaders.
Utawala wakristo haukudumu muda mrefu kwa mwaka 1,500 waislamu wakiongozwa na Ottoman Empire waliyachukua tena maeneo hayo na kuyakalia. Utawala wa Ottoman ulifikia tamati wakati vita ya kwanza ya Dunia ilipoisha. Ottoman akiwa mshirika wa Wajerumani alinyang'anywa makoloni yake yote, kama ambavyo Mjerumani alinyang'anywa Tanganyika. The league of Nations wakati huo ikawapatia Uingereza dhamana ya kuyatawala maeneo hayo( British Mandate for Palestine). NB Palestine lilikuwa ndiyo jina waroma waliwasikilizisha watu. Kwa wakati huo sasa hiyo nchi ilikuwa na jamii tofautitofauti (wayahudi, waislam, mabedui, samaritan, Druze) wote hao wakajulikanika kama wapalestine. Kama tulivyo sisi watanzania lakini kuna jamii tofautitofauti na kabila mbali mbali. Wakati wa vita ya kwanza ya Dunia na vita ya pili jambo lingine likatokea. Wayahudi walipata manyanyaso ktk nchi walizokuwa wamehamia na hasa nchi za waarabu ziliwafukuza wayahudi wengi ambao iliwabidi wakumbuke nchi yao ya ahadi wakarudi huko palestine. Wayahudi hawa siyo kwamba walirudi na kuanzisha vita ya kuwapokonya wenyeji ardhi yao, badala yake walinunua ardhi hiyo. Waislamu kama kawaida yao ya chuki waliyojazwa na Quran yao, historia inaonyesha walianza kuwaua wayahudi ndani ya nchi takatifu. Kwa taarifa yako Quran inawaelekeza Waislamu kuua wayahudi na wakristo. Ipo siku watakuchinja na wewe. League of Nations wakaona isiwe tabu. Ikapitisha Azimio mwaka 1947 wa kuigawa the holy land kuwa: Jewish Palestine, Arab Palestine na kulifanya Jerusalem liwe Jiji la Kimataifa kwa Watu wa imani zote. Waarabu walikataa. Wayahudi ndiyo wakajitangazia Taifa lao mwaka 14 May, 1948 katika eneo walilopewa na Azimio la Umoja wa Mataifa. Kwakuwa sasa wenzao waarabu walikataa, wayahudi wakaliita Taifa Lao Israel badala ya Jewish Palestine. Siku inayofuata Mataifa ya Kiarabu yote unayoyajua wakaanzisha vita na Taifa hili changa na kwakuwa walikuwa na uhakika kabisa wa kushinda vita hiyo, waliwaambia waarabu wenzao waliokuwa wakiishi upande ambapo lingekuwa taifa la Jewish Palestine waondoke kupisha kazi yao ya kuangamiza kila myahudi. Maskini Miislamu hii haikujua kuwa Biblia iliisha tabiri kuwa siku za mwisho taifa hilo la Israel litasimama tena!! Vita hiyo nchi za kiarabuzilishindwa na taifa la Israel likasimama tena kama ilivyotabiriwa ktk Luka 21:24
Ambacho hujui ni kuwa waarabu waliobaki upande wa israel waliendelea kuishi na kustawi huko wakiwa na Haki sawa, mpka tunavyoongea hivi, kati ya population ya Israel ya 10 milioni waarabu hao wamefika kama 3milioni. Upande wa pili kule Gaza na West Bank wayahudi waliuawa na wengine kukimbia. Sasa hivi hakuna myahudi hata mmoja.
Taifa la Palestina la sasa ni kazi ya KGB ya Soviet Union ambapo mwaka wa 1964 wakimtumia Mmisri Yasser Arafat walibuni taifa hilo, ili kujipa uhalali wa nchi ya Israel. Hata ukiwauliza mnajiitaje Wapalestina wakati kwenu nyinyi waarabu hata hiyo herufi P haimo kwenye lugha yenu. Hata bendera yao walichukua bendera ya Jordan na kuondoa tu ile nyota.
Kiujumla Waislamu ndiyo wenye chuki na wayahudi kutokana na mafundisho ya Quran yao, kumbuka the same chuki watawamalizia na wakristo baada ya kumalizana na israel. Wanachofanya waislam ni kuwatanguliza mbele wapalestina ili kuupa sura vita hiyo kuwa ni ya kisiasa kati ya oppressors (israel) na oppressed (Palestinians) ili kupata uungwaji mkono toka mataifa ya kikomunisti na mataifa yaliyotawaliwa na nchi za magharibi.
Hapa chini nakuwekea video ya the former Israeli Prime Minister Golda Meir ambaye Ingawa ni Mjewish alibeba passport ya Palestine na video ya pili ni waarabu wenyewe wanaoonyesha kuwa hii vita ni ya Dini ya Kiislamu kutaka kuangsmiza wayahudi
View attachment 3030799
View: https://x.com/LizaRosen0000/status/1806352928485044266