Na Ukristo wangu huu ninaichukia the so called Israel hadi natetemeka

Hii issue sio ya ukristo wala uislamu, ya kuwa wakristo wotewatakuwa upande ule na waislamu wote upande huu, na sisemi wewe ni mkristo au muislamu

Ila nina kila sababu ya kusema hebu tuliza fuvu wewe kobazz ya ngoswe mwachie ngoswe
Ninajua Wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta pale.

Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za kiyahudi, mchezo wa kitoto sana huu, basi tu kwa kuwa mungu wao marekani ana hela ila natamani leo kesho wasambaratike

Shida ni moja kuhusu Wapalestina wamejinasibisha wao wapo upande wa Uarabuni na Uislamu, ninafahamu Palestina ina wakristu wengi kuliko Israeli ila hawana sauti wala nafasi alawakbalu ni nyingi sana kuliko diplomasia na mataifa ya ulimwengu

Ila Israeli siipendi jamani daah
 
Wewe ni Mkristo usiyesoma Biblia kuhusu historia ya waisrael utakuwa Mkatoliki maana ndizo ambao Huwa hawasomi Biblia wanasomea Misale ya waumini tu
 
walifika ulaya baada ya nchi yao kuvamiwa wakapelekwa ulaya kutumikishwa, hawakujiendea !

Roman Empire iliivamia Israel, waisrael walikamatwa kupelekwa ulaya kutumikishwa, walikuwa ugenini !!

haikuwa mara ya kwanza, waisrael waliwahi kupelekwa Misri kutumikishwa na baada ya miaka wakarudi kwenye nchi yao

Ule msikiti wa Al Aqsa uliojengwa kwa kubomoa hekalu la wayahudi nao utabomolewa, ni swala la muda tu.

Ni sawa na mji wa Mecca ubgevamiwa na wazungu kisha waarabu kupelekwa ulaya kutumikishwa, kwao sio ulaya bali ni Mecca na wana haki ya kurudisha sehemu zao za kuabudia ikiwa wazungu walibomoa misikiti wakajenga makanisa.
Akina mudi wa buza wakisikia nyumba yao itabomolewa wanafuraaaaa. lakini itabomolewa tu muda ukifika.
 
Nani anaye kuambia wa Palestine wa Islam hawana asili ya pale hao ndio wajukuu khalisi wa Yakobo ambao walifata mafunzo ya Yakobo sababu alikuwa mfata dini haswa mpaa akaitwa Israel.

Yakobo anaweza kuwa alitokana na kizazi cha Ishaq ambaye mama yake alikuwa Myahudi lakini kuna tofouti kati ya dini na ukoo sio wayahudi wote dini yao Wayahudi, wako Waislam pia, kama vile sio Warabu wote waislam wako wayahudi na wakristo pia umenifahamu.

Sababu Mungu anawachallenge wayahudi na Wakristo kama Ibrahim mnasema ni Mkristo au Myahudi leteni dalili zenu.

مَا كَانَ إِبْرَٰهِيمُ يَهُودِيًّۭا وَلَا نَصْرَانِيًّۭا وَلَـٰكِن كَانَ حَنِيفًۭا مُّسْلِمًۭا وَمَا كَانَ مِنَ ٱلْمُشْرِكِينَ ٦٧

Abraham was neither a Jew nor a Christian, but he was one inclining toward truth, a Muslim [submitting to Allāh]. And he was not of the polytheists.1
Again, mna-quote vitabu vya fantasies na kujiaminisha kuwa ni kweli. HAKUNA kitabu chochote kilichotungwa na Mungu si Torat, Biblia wala Quran, hivi vyote ni vitabu vilivyotungwa na binadamu huku kila moja akivutia kwake na sisi waafrika tusiojitambua tukibaki kuwa victims wa hizi dini za watu.
 
Kwa vile wewe Mrundi tumekupa uraia, na kama ulienda US na kutotoa vifaranga
Pitia hiki kifungu cha sheria ya uraia
Sheria ya Uraia Sura ya 357 ya mwaka 1995 (R.E, 2002)
sasa sheria zenu zinawahusu akina israel na palestina? Acheni kubishana hadi mnakosa ya kusema. wale watapigana hadi mwisho wa dunia 😂️😂️😂️😂️😂️😂️😂️😂️.
 
Na nyie muwe mnafichaga uchi wa hii quran yenu ili tusiuone utupu wake ulivyo.
Wapi kunakosa hapo mmekalia ujinga tu sa we tupe dalili yako wapi Ibrahim, Ishaq, Yakobo walisema wao Wakristo au Wayahudi kwenye dini yao, kama unayo leta mimi nifate ukristo au uyahudi huna na hutapata andiko hilo.

Nataka dini usiniletee ujinga wa ohh mama yake Ishaq alikuwa Myahudi hio hata mimi najua alikuwa Myahudi nataka dini yake alikuwa dini gani??
 
Kihebrania wanachozungumza hao leo huko israel; kimetengenezwa upya kupitia Zionists project waliyoiita "kurevive Hebrew Language" miaka tu ya hivi karibuni. Walitumia Kiarabu kutengeneza upya hiyo lugha kwa kuwa wanaamini Kiarabu ni lugha iliyo close na Kihebrania. Kihebrania halisi walichozungumza Daudi na Suleiman siyo hiki cha leo. Kilipotea waliposambaa dunia nzima, ila walibaki na maneno machache ya hapa na pale.

unaweza kupata maelezo zaidi hapa:

Wewe umeshawahi tengeneza lugha ngapi?
 
Again, mna-quote vitabu vya fantasies na kujiaminisha kuwa ni kweli. HAKUNA kitabu chochote kilichotungwa na Mungu si Torat, Biblia wala Quran, hivi vyote ni vitabu vilivyotungwa na binadamu huku kila moja akivutia kwake na sisi waafrika tusiojitambua tukibaki kuwa victims wa hizi dini za watu.
Tutolee ujinga hapa nani kasema Mungu kaviandika, alikuwa anashuka Gabrieli anafikisha ujumbe kwa kila Mtume aliye kuja na kitabu chake.

Taurati Nabii Mussa

Injili Yesu

Zaburi Nabii Daudi

Qur'an Nabii Muhammad.
 
Ninajua Wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta pale.

Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za kiyahudi, mchezo wa kitoto sana huu, basi tu kwa kuwa mungu wao marekani ana hela ila natamani leo kesho wasambaratike

Shida ni moja kuhusu Wapalestina wamejinasibisha wao wapo upande wa Uarabuni na Uislamu, ninafahamu Palestina ina wakristu wengi kuliko Israeli ila hawana sauti wala nafasi alawakbalu ni nyingi sana kuliko diplomasia na mataifa ya ulimwengu

Ila Israeli siipendi jamani daah
Kuna madai kadhaa katika thread yako ambayo yanaweza kutazamwa kwa mtazamo wa ukweli na uongo.

Dai la Kwanza: "Wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli"

Ukweli: Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, Wayahudi wengi kutoka Ulaya walihamia Israeli, wakijenga taifa la Israeli ambalo lilianzishwa rasmi mwaka 1948.

Uongo: Kusema kuwa Waisraeli wote ni wazungu kutoka Ulaya ni kupotosha. Waisraeli wanatoka sehemu mbalimbali za dunia, ikiwa ni pamoja na Mashariki ya Kati, Afrika, na Asia, na wanahusiana na urithi wa Wayahudi wa kale.

Dai la Pili: "Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za kiyahudi"

Ukweli: Wayahudi wamekuwa na uhusiano wa kihistoria na kidini na ardhi ya Israeli kwa maelfu ya miaka, na lugha ya Kiebrania na tamaduni za Kiyahudi zina mizizi ya kina katika eneo hilo.

Uongo: Kudai kuwa wanajinasibu tu kwa sababu wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za Kiyahudi si sahihi. Hizi ni sehemu ya utambulisho wao wa kidini na kihistoria.

Dai la Tatu: "Palestina ina wakristu wengi kuliko Israeli ila hawana sauti wala nafasi"

Ukweli: Kuna Wakristo katika Palestina na Israeli, lakini idadi yao ni ndogo ukilinganisha na Waislamu na Wayahudi.

Uongo: Kudai kuwa Palestina ina Wakristo wengi kuliko Israeli ni kupotosha, kwani idadi ya Wakristo ni ndogo katika pande zote mbili. Kote wakristo wanahesabika kama tabaka la pili.
 
Tutolee ujinga hapa nani kasema Mungu kaviandika, alikuwa anashuka Gabrieli anafikisha ujumbe kwa kila Mtume aliye kuja na kitabu chake.

Taurati Nabii Mussa

Injili Yesu

Zaburi Nabii Daudi

Qur'an Nabii Muhammad.
Hawa wote si manabii, ni watu waliopachikwa vyeo wasivyostahili.
 
Kuna madai kadhaa katika thread yako ambayo yanaweza kutazamwa kwa mtazamo wa ukweli na uongo.

Dai la Kwanza: "Wazungu wa Ulaya ya Mashariki na Kaskazini kujifanya wao ndo Waisraeli"

Ukweli: Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, Wayahudi wengi kutoka Ulaya walihamia Israeli, wakijenga taifa la Israeli ambalo lilianzishwa rasmi mwaka 1948.

Uongo: Kusema kuwa Waisraeli wote ni wazungu kutoka Ulaya ni kupotosha. Waisraeli wanatoka sehemu mbalimbali za dunia, ikiwa ni pamoja na Mashariki ya Kati, Afrika, na Asia, na wanahusiana na urithi wa Wayahudi wa kale.

Dai la Pili: "Eti wanajinasibu wao ndo wazawa wa ardhi ile kisa wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za kiyahudi"

Ukweli: Wayahudi wamekuwa na uhusiano wa kihistoria na kidini na ardhi ya Israeli kwa maelfu ya miaka, na lugha ya Kiebrania na tamaduni za Kiyahudi zina mizizi ya kina katika eneo hilo.

Uongo: Kudai kuwa wanajinasibu tu kwa sababu wanaongea Kiebrania na kutenda tamaduni za Kiyahudi si sahihi. Hizi ni sehemu ya utambulisho wao wa kidini na kihistoria.

Dai la Tatu: "Palestina ina wakristu wengi kuliko Israeli ila hawana sauti wala nafasi"

Ukweli: Kuna Wakristo katika Palestina na Israeli, lakini idadi yao ni ndogo ukilinganisha na Waislamu na Wayahudi.

Uongo: Kudai kuwa Palestina ina Wakristo wengi kuliko Israeli ni kupotosha, kwani idadi ya Wakristo ni ndogo katika pande zote mbili. Kote wakristo wanahesabika kama tabaka la pili.
Sijaona ulichotofautisha hapo
 
Wewe ni Mkristo usiyesoma Biblia kuhusu historia ya waisrael utakuwa Mkatoliki maana ndizo ambao Huwa hawasomi Biblia wanasomea Misale ya waumini tu
Hiyo biblia unayosoma wewe ndiyo ilikuambia ikifika mwaka 1947 wazungu kutoka ulaya watawaua wapalestina na kuwanyang'anya ardhi yao halafu wajiite waisraeli?
 
Walifanyalo hawa jamaa wa Ulaya Mashariki si geni kujifanya wao ni Wayahudi, mbona hata hapa Tanzania kuna Wakristo kibao wanajihesabia wao kuwa ni Waisrael, labda Mkristo wewe tu uko tofauti.
Halafu mbuzi moja inaniambia eti sijui biblia na nitakuwa mkatoliki kwa kuwa tu nimekinzana na mawazo yao mgando

Na ukweli ndiyo Mimi ni mkatoliki
 
Mleta mada ulitaka kuandika nini hasa?
Maana kichwa cha habari na ulichoandika ni tofauti kabisa!
Tuliza akili mkuu usiwe unakurupuka kama uharo!
 
Mungu wa Israel anaitwa
''BWANA WA VITA''
Ndilo jina lake na ameapa kuwapigania Israel milele.

Kwa mkristo asiyeitakia amani Israel bado hajui

Kuna wimbi la''wakristo koko" mitandaoni hasa jf, wanajiita Wakirsto hali sio.
Wanaibua na kuleta mijadara mbalimbali kwa lengo la kuupinga ukristo, jihadharini nao hao ndugu zangu wana jiefu.
 
Back
Top Bottom