gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,406
- 3,888
Idiotic buffoonKumbukumbu zinaniambia Palestina alishirikiana na Idd Amin kutuulia wanajeshi wetu kwenye vita vya Kagera bila kujali Tanzania inamuunga mkono kwenye mgogoro wake na Israel.
Can you prove this? bozo! ooohh labda lugha ngoja nioongee kimatumbi
Unaweza kuleta ushahidi wa huu upupu wako?