Israeli kama taifa wameamua kuubeba ubaya na kuuishi sidhani kama hilo ni jambo la mtu mmojaHuogopi kumchukia mtu ambaye hata hujawahi kukutana naye?
Ubaya wa mtu mmoja au wachache kamwe usikufanye uwachukie wasiohusika.
Israeli wana sababu zao za msingi, Wapalestina nao. Kitu cha msingi tuwatakie amani.
Kwa fikra yangu yenye mipaka pure ethnicities haziwezi kuwepo Karne na Karne.Uwe kristo usiwe kristo yote sawa tu. Swali. Kwanini watu wakisema wale siyo waisrael na hamsemi waisrael ni kina nani na wapo wapi kwa Sasa?.na wakati wapi walikua wapi?. Maana ni Kama mnamaanisha waisrael hawapo duniani kwa Sasa. Ila mnaogopa kupigwa maswali mkashindwa kujibu.
Waisrael wamelaaniwa hawawezi kukaa katika ardhi kwa amani, na kwa mujibu wa maelezo ya kitafiti ni kuwa waisrael wanauweusi flani hiviii sio pure white kama kina netanyahu.Uwe kristo usiwe kristo yote sawa tu. Swali. Kwanini watu wakisema wale siyo waisrael na hamsemi waisrael ni kina nani na wapo wapi kwa Sasa?.na wakati wapi walikua wapi?. Maana ni Kama mnamaanisha waisrael hawapo duniani kwa Sasa. Ila mnaogopa kupigwa maswali mkashindwa kujibu.
You're delusional. Kuna watu wema kila mahali; wabaya vilevile.Israeli kama taifa wameamua kuubeba ubaya na kuuishi sidhani kama hilo ni jambo la mtu mmoja
Wala haihitaji kuwa muislamu kuona ushenzi wa hawa washenziNinajua wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa ulaya ya mashariki na kaskazini kujifanya wao ndo waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta pale...
Mwisraeli ni nani? Lugha, rangi, itikadi na imani, historia na chimbuko asilia au vyote kwa pamoja???Waisrael wamelaaniwa hawawezi kukaa katika ardhi kwa amani, na kwa mujibu wa maelezo ya kitafiti ni kuwa waisrael wanauweusi flani hiviii sio pure white kama kina netanyahu.
Ila itachukua muda mrefu sana kwa wakristo wafuata upepo (mfano wako) kuufahamu ukweli!!!!
Labda kwa angle hiyo kila taifa inaweza kufanya ila kwa hili la kukaa kimabavu kwenye ya waliowakuta ( nisiseme wenyeji maana hata Palestina ni wavamizi) ni ushenzi walipaswa kuheshimu waliowakutaWala haihitaji kuwa muislamu kuona ushenzi wa hawa washenzi
Fuatana nami, uko ndani London town, wao ndio wana mtaa wao wa maduka ya usonara unaitwa Hatton Garden, unapeleka dhahabu au almasi au ruby yako...
Iwe kweli au isiwe kweli hatupaswi kuuchagua upande hasa wa Israel ambao nao Wana mabaya mengi sana kwa race zingineKumbukumbu zinaniambia Palestina alishirikiana na Idd Amin kutuulia wanajeshi wetu kwenye vita vya Kagera bila kujali Tanzania inamuunga mkono kwenye mgogoro wake na Israel.
Hatuchagui upande ila unapotaka kukemea uovu usichague uovu wa kukemea. Dhambi ni dhami haijalishi imefanywa na nani.Iwe kweli au isiwe kweli hatupaswi kuuchagua upande hasa wa Israel ambao nao Wana mabaya mengi sana kwa race zingine
Ndio maana yangu hioLabda kwa angle hiyo kila taifa inaweza kufanya ila kwa hili la kukaa kimabavu kwenye ya waliowakuta ( nisiseme wenyeji maana hata Palestina ni wavamizi) ni ushenzi walipaswa kuheshimu waliowakuta
Kwani hawa Wana tofauti gani na wazunguNdio maana yangu hio
Wakiwa sehemu yeyeto, hivi ndio wanafanya, sasa kwa nchi za ulaya miaka ya 19 kweusi walishikilia uchumi na kuwafanya wazawa kuwa masikini wa kutupwa, fikiria ndio wangekuwa na nguvu ya kidola, wangekuwa wanachinja wazungu, ndio maana unaona mpaka leo nchi nyingi za ulaya mpaka US kuna vikundi vinavyopinga sana uwepo wao, sababu ya historia.
Sasa kwa mashariki ya kati, wana eneo lao kabisa, hapa ndio unao makucha yao halisi ya kinyama