Na Ukristo wangu huu ninaichukia the so called Israel hadi natetemeka

Kumbukumbu zinaniambia Palestina alishirikiana na Idd Amin kutuulia wanajeshi wetu kwenye vita vya Kagera bila kujali Tanzania inamuunga mkono kwenye mgogoro wake na Israel.
Idiotic buffoon
Can you prove this? bozo! ooohh labda lugha ngoja nioongee kimatumbi
Unaweza kuleta ushahidi wa huu upupu wako?
 
Kwa hiyo Adolf Hitler alipokuwa anawakamata Wayahudi na kuwapeleka concetration camps kuwaua alikuwa akiwaua wazungu wenzake!!! Hivyo tuseme wayahudi walifutika duniani!! Usiwachukie waisraeli maana sisi wakristo na wayahudi wote tunaitwa MAKAFIRI na tunatakiwa kusilimu au tuuwawe na wenye siasa kali. Convert or die!
 
Walitoka wapi na lini
Roman Empire iliivamia Israel, waisrael walikamatwa kupelekwa ulaya kutumikishwa, walikuwa ugenini !!

haikuwa mara ya kwanza, waisrael waliwahi kupelekwa Misri kutumikishwa na baada ya miaka wakarudi kwenye nchi yao
 
Ninajua wapalestina sio wakazi halisi wa ile ardhi hilo linafahamika ila shida ni hawa wazungu wa ulaya ya mashariki na kaskazini kujifanya wao ndo waisraeli na kuwauza wenzao ilhali wamewakuta pale...
Kihebrania wanachozungumza hao leo huko israel; kimetengenezwa upya kupitia Zionists project waliyoiita "kurevive Hebrew Language" miaka tu ya hivi karibuni. Walitumia Kiarabu kutengeneza upya hiyo lugha kwa kuwa wanaamini Kiarabu ni lugha iliyo close na Kihebrania. Kihebrania halisi walichozungumza Daudi na Suleiman siyo hiki cha leo. Kilipotea waliposambaa dunia nzima, ila walibaki na maneno machache ya hapa na pale.

unaweza kupata maelezo zaidi hapa:

 
Na wayahudi hao hao wanawaita nyie wakristu Wanaharamu na kila wanapokutana na wakristu huwatemea mate
 
Roman Empire iliivamia Israel, waisrael walikamatwa kupelekwa ulaya kutumikishwa, walikuwa ugenini !!

haikuwa mara ya kwanza, waisrael waliwahi kupelekwa Misri kutumikishwa na baada ya miaka wakarudi kwenye nchi yao
Hizo ni hadithi za kutunga za wazungu kuhalalisha wazungu wenzao wakae mashariki ya kati
 
Pole na hongera sana
 
Labda mzungu Hitler angekuwa yuko hai, angeweza kutuambia tofauti
Wajerumani ni wazungu na wapoland ni wazungu pia ila ujerumani aliwatumikisha Poland kwenye mashamba na viwanda sembuse hao so called Israel
 
Hicho nami nilikuwa nakihisi Asante kwa link
 
Utakuwa mkristo maamuma, you know nothing about Christianity.
 
Hizo ni hadithi za kutunga za wazungu kuhalalisha wazungu wenzao wakae mashariki ya kati
hata uhuru wa nchi yetu ni wa kutungwa kama ulikuwa unatoroka vipindi vya history
 
Kwani kutowapenda kwako na kuwachukia kumekusaidia kuounguza umaskini unaokukabili. Eti na wewe unajiita mkristo ebu acheni kuvamia dini za watu. Na wewe umeona ukianza kwa kusema wewe mkiristo basi hoja yako itakuwa na mashiko. Nani amesema ana shida na ukristo wako? Hivi huu upuuzi huwa mnaotoa wapi na unawasaidia nini? Ungesema hoja yako bila kutaja ukristo isingeeleweka?
 
Na wayahudi hao hao wanawaita nyie wakristu Wanaharamu na kila wanapokutana na wakristu huwatemea mate
Shida ya muongo huwa hana kumbukumbu. Soma hii kauli yako na uangalie ulichokiandika mwanzo. Huoni aibu kujifanya kafiri, hivi waislamu wa JF mnaoshabikia mgogoro wa gaza mmekumbwa na nini? Mbona mmekuwa wa hovyo hivo?
 
Na inakuwaje hawa Israel hawawataki nyinyi makafiri OG mliejitungia mungu mtu


View: https://www.youtube.com/watch?v=7uL555xWQeE
 
Mm mtanzania nikienda USA, mtoto wangu akirudi Tz je huyo mtoto n uzao wa Tz au siyo?
 
Mm mtanzania nikienda USA, mtoto wangu akirudi Tz je huyo mtoto n uzao wa Tz au siyo?
Kwa vile wewe Mrundi tumekupa uraia, na kama ulienda US na kutotoa vifaranga
Pitia hiki kifungu cha sheria ya uraia
Sheria ya Uraia Sura ya 357 ya mwaka 1995 (R.E, 2002)
 
Wapaledtina wangekuwa wakristo safi wasingepigwa
Tatizo imani zao za kiislamu,

Eti wanaamini wakifa wapigana na mayahudi watapewa wanawake mabikira 72
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…