Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
-
- #21
Mkuu Mimi brand yangu kubwa mtaani nimeburuza mademu wengi mpaka wake za watu halafu nibebe lindoo la zege hapana aisee Bora nilale getoKuna vitu nilisema sitovifanya na nikaja kuvifanya kwa hiyo "never say never"..
Hata hivyo, hakikisha una cha kulindia hiyo brand kabla ya kubeza kubeba dege. Hivyo, kama una skills, network na powerful surname. Una haki ya kusema hivyo
Kweli kabisa hujakoseautoto raha sana
Beba wewe mshamba kutoka kijijini usiejua kuvaa na kugonga mademu Mimi siwezi kushusha brandMtoto wa kiume kusema hubebi zege unatak nani abebe ?? Kama huwezi kaa kimya......
Utapoteza utu kaa makini
Unachangamsha genge tu humu mkuuMkuu Mimi brand yangu kubwa mtaani nimeburuza mademu wengi mpaka wake za watu halafu nibebe lindoo la zege hapana aisee Bora nilale geto
Hapana sio kweli Mimi sifanyi hiyo kaziKuna Master's kibao saidia Fundi.
We Nani .... Njoo ukae jikoni ulipike.
Sihitaji kujitangaza wala kutumia nguvu kubwa kushindana na akili kisodaBeba wewe mshamba kutoka kijijini usiejua kuvaa na kugonga mademu Mimi siwezi kushusha brand
Achana na huyu anatafuta kiki hapaMkuu usimalize maneno bado unaishi wewe, kikubwa zidi tu kumuomba Mungu akupe maisha hayo unayoishi
Masikini huwa hana kiapo ngoja maisha siku yakuchape
kaka huyo ana mbwembwe za kishamba tu, watu tuna vijiwe kadhaa na imara, ila still nachukua mzigo kufanya delivery.Kuna vitu nilisema sitovifanya na nikaja kuvifanya kwa hiyo "never say never"..
Hata hivyo, hakikisha una cha kulindia hiyo brand kabla ya kubeza kubeba dege. Hivyo, kama una skills, network na powerful surname. Una haki ya kusema hivyo
Hapo alipo hata 2m kwa akaunti haja, na asha Anza mbwembwe.Mkuu usimalize maneno bado unaishi wewe, kikubwa zidi tu kumuomba Mungu akupe maisha hayo unayoishi
Masikini huwa hana kiapo ngoja maisha siku yakuchape
Narudia zege wanabeba washamba kama wewe msiojua kuvaa na kugonga mademu mmetoka kijijini kuja kuwa punda mjiniSihitaji kujitangaza wala kutumia nguvu kubwa kushindana na akili kisoda
Ipo zaidi ya hiyo Mimi Sina njaa za kubeba zege weweHapo alipo hata 2m kwa akaunti haja, na asha Anza mbwembwe.
Mkuu kumbe brand yako ni kwenye mademu na wake za watu?, you have a long way to go🤣🤣Mkuu Mimi brand yangu kubwa mtaani nimeburuza mademu wengi mpaka wake za watu halafu nibebe lindoo la zege hapana aisee Bora nilale geto
Una njaa kale kwanza acha wengeNarudia zege wanabeba washamba kama wewe msiojua kuvaa na kugonga mademu mmetoka kijijini kuja kuwa punda mjini
Naburuza sana wake za watuMkuu kumbe brand yako ni kwenye mademu na wake za watu?, you have a long way to go🤣🤣
Kuna kauli nimeziona naona tu hayupo real.kaka huyo ana mbwembwe za kishamba tu, watu tuna vijiwe kadhaa na imara, ila still nachukua mzigo kufanya delivery.
naenda site kwenye chimbo kadhaa ili tu kupata info za ma deal na ili uaminike lazima uonekane ka wao.
🤣🤣🤣🤣 Kabebe zenge wakuja weweUna njaa kale kwanza acha wenge