Na usomi wangu huu nibebe zege kweli? Hapana, nashusha brand

kaka huyo ana mbwembwe za kishamba tu, watu tuna vijiwe kadhaa na imara, ila still nachukua mzigo kufanya delivery.

naenda site kwenye chimbo kadhaa ili tu kupata info za ma deal na ili uaminike lazima uonekane ka wao.
We njaa tu inakusumbua ndio maana unaona hizi ni mbwembwe kumbe unanjaa
 
Angalia unakoelekea wataanza kukutindua wahuni,mtoto wa kiume unashinda gheto unajisifuu
 
Beba wewe mshamba kutoka kijijini usiejua kuvaa na kugonga mademu Mimi siwezi kushusha brand
Nilichogundua hapa ni kwamba haupo serious na mambo unayoandika hapa. Hata uandishi wa Uzi wako hauonyeshi kama we ni msomi. Umekazana na maneno mawili, kugonga mademu na kuvaa,....yaani hapo unaona hiyo ni Brand. Inaonyesha una chini ya miaka20...akili yako fupi kama chupi
 
Brand ilindwe mambo ya kuharibu brand uliyotengeneza 17years plus sio kweli.Kwenye hili la kulinda brand nakusupport kiongozi
 
Vipi mzee wewe mpaka umri huo unautajiri Gani na uzee wako au ndio uzee tu bila pesa🤣🤣🤣🤣
 
Chagua brand au maisha? Hiyo brand inakusaidia nini kama hakuletei kipato chochote?
 
Kuna vitu nilisema sitovifanya na nikaja kuvifanya kwa hiyo "never say never"..

Hata hivyo, hakikisha una cha kulindia hiyo brand kabla ya kubeza kubeba dege. Hivyo, kama una skills, network na powerful surname. Una haki ya kusema hivyo
Sure. Nilikua nashangaa sana nikimwona mama amepanda boda na watoto wadogo! Au mama mjamzito kwenye daladala! We yalinikuta mwaka 2017 wife akiwa mjamzito hatuna hata mia, Uber niliisahau na mtoto nimepanda nae boda mara nyingi. I'm glad kile kipindi kilipita na tupo safi kidogo. Ila siwezi judge nikiona mama ametoka kujifungua unakutana nae kwenye daladala!
 
Vipi mzee wewe mpaka umri huo unautajiri Gani na uzee wako au ndio uzee tu bila pesa🤣🤣🤣🤣
Sijafikia uzee, mi kijana mwenzio ila we ni kijana wa hovyo kinoma, naona unajisifia kukaa gheto na kugonga mademu
 
Sijafikia uzee, mi kijana mwenzio ila we ni kijana wa hovyo kinoma, naona unajisifia kukaa gheto na kugonga mademu
Nenda Kabebe zege ni Kwa ajili yenu washamba mliotoka vijijini msiojua kupiga pamba Kali na kugonga mademu ni lazima muwe punda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…