Njaa haijauma... ikikuuma vizuri ina maana hata ela ya hizo pamba kali utakuwa huna hivyo utajulikana kama mzee wa kupiga pamba zenye viraka na kandambili zisizofanana.Mimi siwezi kufanya kazi ya kubeba zege mpaka naingia kaburini na usomi wangu huu eti nianze kupandisha ngazi na ndoo lenye ujazo wa kokoto dementia mchanga juu gorofani bora nilale geto tu aisee kuliko kushusha brand mademu kibao mtaani wengine nishachapa wanione nahangaika na zege kulitoa chini mpaka juu ya gorofa si dharau hizi za kushusha brand wakati Mimi najulikana mzee wa kupiga pamba Kali mtaani halafu nifanye kazi za kishamba
Neno 'brand' umelirudia sana kulitumia!Hapana aisee ndoo ya zege sibebi Bora nilale geto nashusha brand
Sasa kama pesa unayo, unaanzaje kupiga stori za kubeba zege???Pesa ninayo Sina njaa
SijuiSasa kama pesa unayo, unaanzaje kupiga stori za kubeba zege???
Brand yangu kubwa mtaaniNeno 'brand' umelirudia sana kulitumia!
Jobless kama wewe unakuwa na brand gani unatengeneza unayolinda isishuke?
What is Brand and Branding?Brand yangu kubwa mtaani
We jua tu brand yangu kubwaWhat is Brand and Branding?
What is Brand strategies
James DeliciousMimi siwezi kufanya kazi ya kubeba zege mpaka naingia kaburini na usomi wangu huu eti nianze kupandisha ngazi na ndoo lenye ujazo wa kokoto simenti na mchanga juu gorofani bora nilale geto tu aisee kuliko kushusha brand mademu kibao mtaani wengine nishachapa wanione nahangaika na zege kulitoa chini mpaka juu ya gorofa si dharau hizi za kushusha brand wakati Mimi najulikana mzee wa kupiga pamba Kali mtaani halafu nifanye kazi za kishamba
ushavumbua teknolojia gani mpaka sasa kupitia elimu yako?Mzee mi sijasoma niwe fundi elimu yangu ni kubwa sana
Njaa haijakuuma sawa sawa, bado unaishi kwa baba yako, kwa shemeji u mjomba hivyo haujadharirishwa na wenye nyumba kuhusu kodi yao, umetembea kwa mguu umbali gani kwa kukosa nauli, ukifikia hatua hiyo utafanya kazi yoyote narudia tena kazi yoyoteMimi siwezi kufanya kazi ya kubeba zege mpaka naingia kaburini na usomi wangu huu eti nianze kupandisha ngazi na ndoo lenye ujazo wa kokoto simenti na mchanga juu gorofani bora nilale geto tu aisee kuliko kushusha brand mademu kibao mtaani
nishachapa wanione nahangaika na zege kulitoa chini mpaka juu ya gorofa si dharau hizi za kushusha brand wakati Mimi najulikana mzee wa kupiga pamba Kali mtaani halafu nifanye kazi za kishamba
Ukikuwa utaelewa..!!! Kwa sasa endelea na utoto wako, maana umri unakuruhusu kuyasema hayo.Sijui
Inawezekana Mimi ni mtoto ila wewe ni kubwa jinga umekua umri na umbile tuUkikuwa utaelewa..!!! Kwa sasa endelea na utoto wako, maana umri unakuruhusu kuyasema hayo.
Hahaha hatariBora uwe chinga mkuu, Kuna sehemu tuliwahi kimbiza zege Mwanza tulitumia masaa 16 non-stop, excluding meal breaks, which we had twice na malipo yalikuwa ni elfu 25 kwa kichwa. Sasa tulikuwa watu 25 ila tulimaliza watu 11 tu wengine 14 walitoroka. Fikilia hio kazi ilikuwa inaugumu kiasi gani na binafsi nikafunga kurasa kuwa Ile ndio ilikuwa kazi yangu ya kwanza na ya mwisho ya zege kuifanya, na sijawahi kuifanya tena.
ππππHapo ushakula makoronya na soseji mbili