Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
100% Lamata hajui chochote kinachoendelea hapo, ila upepo bwana, Bongo issue uwe na upepo tu, mambo mengine yote yanaenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lamata ndo nani?100% Lamata hajui chochote kinachoendelea hapo, ila upepo bwana, Bongo issue uwe na upepo tu, mambo mengine yote yanaenda.
sisi tulioenda koreaWivu kwa nani?
Mama ameamua kuvunja Rekodi ya Mkwere.View attachment 3008287
Hii picha imenichekesha sana 🤣.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana na Rais kwenye hizo ziara zake za nje ya nchi na wao hulipwa hizo posho za siku?
Tumeambiwa kuwa huko Korea Kusini kaambatana na waigizaji.
Hao waigizaji wamejilipia wenyewe hizo gharama au ni pesa za walipa kodi ndo zinatumika?
A figment of your imagination.sisi tulioenda korea
Unaambiwa Mama anaifungua Nchi!!Sikuwa mshabiki saana na staili ya uongozi wa JPM, lakini kwenye suala la safari za nje zisizoisha nilimwunga mkono 100%. Hivi kweli kwa utitiri kulikuwa na kujadiliana ama kupewa maelekezo ya nini wakorea wanatupa? Hapa tunatoa picha ya kutokuwa na uongozi madhubuti, wenye kujielewa na kujiamini.
Upo sahihi kabisa!! Yule ni WA level ya mijadala na Rais mwenzake!!Mimi naamini Rais angewaachia hao waigizaji wafanye huo mkutano na hao waigizaji wenzao.
Sioni kabisa tija wala ulazima wa mkuu wa nchi kuwepo hapo.
Sipati picha eti Julius Nyerere au Benjamin Mkapa ashiriki kikao nje ya nchi na waigizaji wa filamu za bongo movie na Korean soap operas.Upo sahihi kabisa!! Yule ni WA level ya mijadala na Rais mwenzake!!
Anyway Kama alikosa muda wa kuwasikiliza Wafanyakazi Mei mosi lakini akapata muda wa kwenda Mlimani City kuburudika na Harmonizer, inabidi tumuachie tu Mungu ainusuru Tanganyika yetu
Hii ni aibu ya Taifa!!Sipati picha eti Julius Nyerere au Benjamin Mkapa ashiriki kikao nje ya nchi na waigizaji wa filamu za bongo movie na Korean soap operas.
Ukifikiria mambo ya hii nchi utapasuka kichwa......ni bora uinjoi tu mkuuA figment of your imagination.
Mediocrity inaongoza Tanzania! Sad.Ukifikiria mambo ya hii nchi utapasuka kichwa......ni bora uinjoi tu mkuu
Watatufundisha kuweka subtitles nzuri kwenye muvi na tamthilia zetu na bonus ya kutuletea ujuzi wa kupata ngozi nyororo wenyewe wanaita glass skin 🫠Mimi bado hata sijui ambacho Wakorea wanakijua kuhusu uigizaji na ambacho sisi hatukijui mpaka kumlazimu rais aende na rundo la waigizaji wa Kitanzania huko Korea!
Wanachokijua wao na ambacho sisi hatukijui ni kipi hasa?
Kwanini wasilipwe?View attachment 3008287
Hii picha imenichekesha sana 🤣.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana na Rais kwenye hizo ziara zake za nje ya nchi na wao hulipwa hizo posho za siku?
Tumeambiwa kuwa huko Korea Kusini kaambatana na waigizaji.
Hao waigizaji wamejilipia wenyewe hizo gharama au ni pesa za walipa kodi ndo zinatumika?
Uporoto huuWatatufundisha kuweka subtitles nzuri kwenye muvi na tamthilia zetu na bonus ya kutuletea ujuzi wa kupata ngozi nyororo wenyewe wanaita glass skin 🫠
Siyo watumishi wa serikali. Hawapo huko kuiwakilisha nchi.Kwanini wasilipwe?
Mkuu ebu fafanua vzr kwenye waigizaji walioenda inamaana ata muhogo mchungu yumo?😂😂View attachment 3008287
Hii picha imenichekesha sana 🤣.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana na Rais kwenye hizo ziara zake za nje ya nchi na wao hulipwa hizo posho za siku?
Tumeambiwa kuwa huko Korea Kusini kaambatana na waigizaji.
Hao waigizaji wamejilipia wenyewe hizo gharama au ni pesa za walipa kodi ndo zinatumika?
Ndo nani huyo?Mkuu ebu fafanua vzr kwenye waigizaji walioenda inamaana ata muhogo mchungu yumo?😂😂
Mimi nitajibu hili:Hao waigizaji wamejilipia wenyewe hizo gharama au ni pesa za walipa kodi ndo zinatumika?