Baada ya kutafakari kwa kina .nimeamua kuacha kabisa na siasa.
1. Nimesikiliza na nimesoma historia ya siasa ktk vitabu na nimewaikiliza wanahistoria nimegundua madaraka matamu, kumuondoa mtu ktk madaraka mtu ni kazi kubwa sana na unahitaji kujitoa muhanga
2. Nimehundua pia unaweza kuwa chawa mkubwa wa siasa ktk chama tawala duniani mwisho ukaangukia papaya. Ref Kambona na walioshiriki harakati mbali mbali za kuzikomboa nchi kisiasa lkn mwisho wa siku maisha ya wakageuka
Nimeamua kukaa pembeni kisiasa.
Nimegundua ktk siasa kosa ndogo linawza kukupoteza kabisa kwa sababu alieshika madaraka anaona madaraka kwake matamu
Alieshika madaraka hamuogopi mungu ili kulinda madaraka yake. Kwanini nifikie huko?