Naacha kabisa Siasa

Naacha kabisa Siasa

Hanga alikuwa chadema? Kambona alikuwa chadema?
Unapo ingia kwenye siasa akikisha kwanza unajitambua ..wengi mmeingia huko kuganga njaa binafsi wala hamna akili yoyote juu ya kile mnacho kitafuta kwa taifa ...ndipo hapo mambo ya siasa za kishabiki zinapoanza na kuzaa machawa na vibaraka
 
Hanga, Kambona walikuwa hawajitambui? Lissu hajitambui?
 
Upo unaelekea pazuri, imesalia ufungue uzi kwamba umeokoka na kuacha kufuata imani inayowapeleka mabilioni ya watu jehanamu.
Jiulize hiyo imani ilibuniwa juzi miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, na imesababisha maafa makubwa duniani kwa mahubiri yake ya kichuki chuki.
Yesu alitabiri ujio wa hiyo imani kwamba waumini wake watachinja sana Wakristo, na watakuwa wakifanya hivyo wakidhani wanamfurahisha Mungu, tumeyashuhudia.
Hivyo aidha ushupaze shingo uende jehanamu ukiona au ukubali kuokolewa.
 
Hitler alikuwa mkatoliki, wajapan waliouliwa na bomu la nyukilia na wasabato wa America , vita vya 1 na 2 walipigana wakatoliki, wasabato na waangalikana, vita 2 walipagana mataifa ya kikiristo. Machafuko yoyote yanayotokea nchi kiislam hivi sasa ukiangalia kuna mkono mkubwa wa nchi za magharibi. Siku wakijitambua mashariki ya kati na kuisoma vizuri Quran na kuilewa wataondoka na hayo
Unalo swala la ziada nikujibu?.
 
Katiba mpya sii kumuondoa mtawala madarakani? Atakubali?
Unasubiri akubali? Huko Burkinafaso na Ivory Coast walikubali?

Kenya Walikubali?

Kijana wa Kiislam unakwama wapi?
 
Unasubiri akubali? Huko Burkinafaso na Ivory Coast walikubali?

Kenya Walikubali?

Kijana wa Kiislam unakwama wapi?
Kilitokea nini baada ya kutokubali? Si watu waliangamia? Sasa kwanini niangamie kwa kupiganie kwa ajili ya matumbo ya wengine?
Sio bora nipiganie watu waache maasi na nitumie muda mwingi ktk kuwaongoza watu ktk njia ilionyooka?
 
Ni heri ungeacha mambo ya dini hpo ungekuwa umepiga hatua
Neno Dini halina shida yoyote labda amjui neno dini msingi wake ni nini ? Neno dini ndani yake limeundwa na mambo yafuatayo
1) Mungu
2)Haki
3)upendo
4)wema
5)Uhadilifu
5)Kweli
6)Imani
Hapo hakuna shida yoyote tatizo ni MADHEHEBU YA DINI msingi wa madhehebu ya dini umeundwa na mambo yafuatayo
1)Mungu
2)Unafiki (badala ya kweli)
3)Ushabiki (badala ya imani)
4)ufisadi (badala ya wema)
5)uovu (badala ya haki)
6)kiburi (badala ya upendo).
Ndiyo.maana leo hii wakristo na waislamu wamekuwa washenzi kwa sababu ya MADHEHEBU ndiyo maana unaweza kushangaa kwanini waislamu wanashabikia vita vya Israel na Palestina sana wakati kuna wasudani wanachinjana wala hao waislamu awajali chochote ni kama hakuna kitu kibaya kinaendelea yote hayo yanaletwa na upumbavu wa madhehebu .....kwa hakika waislamu tulio nao sasa duniani ni haki kuwaita WAISIHARAMU na wakristo tulionao sasa hivi ni haki kuwaita MAKAFIRI kwa sababu wote ni watu wa MADHEHEBU.
 
Ndiyo.maana leo hii wakristo na waislamu wamekuwa washenzi kwa sababu ya MADHEHEBU ndiyo maana unaweza kushangaa kwanini waislamu wanashabikia vita vya Israel na Palestina sana wakati kuna wasudani wanachinjana wala hao waislamu awajali chochote ni kama hakuna kitu kibaya kinaendelea yote hayo yanaletwa na upumbavu wa madhehebu
- Nakupelekea binadamu mmoja, kubuni silaha kali za kumwangamiza binadamu mwingine.

Na kumweka Binadamu kama kiumbe hatari na katiri zaidi duniani.
 
Baada ya kutafakari kwa kina .nimeamua kuacha kabisa na siasa.
1. Nimesikiliza na nimesoma historia ya siasa ktk vitabu na nimewaikiliza wanahistoria nimegundua madaraka matamu, kumuondoa mtu ktk madaraka mtu ni kazi kubwa sana na unahitaji kujitoa muhanga
2. Nimehundua pia unaweza kuwa chawa mkubwa wa siasa ktk chama tawala duniani mwisho ukaangukia papaya. Ref Kambona na walioshiriki harakati mbali mbali za kuzikomboa nchi kisiasa lkn mwisho wa siku maisha ya wakageuka

Nimeamua kukaa pembeni kisiasa.
Nimegundua ktk siasa kosa ndogo linawza kukupoteza kabisa kwa sababu alieshika madaraka anaona madaraka kwake matamu
Alieshika madaraka hamuogopi mungu ili kulinda madaraka yake. Kwanini nifikie huko?
Uliwahi just hata mfagizi wa ofisi wa CCM, Chadema, ACT au NCCR?
 
Sasa kama wewe ni Mwanasiasa na Chama chako kinaongozwa na mkt mmoja kwa miaka 30 unadhani utaipendaje Siasa?
 
Hitler alikuwa mkatoliki, wajapan waliouliwa na bomu la nyukilia na wasabato wa America , vita vya 1 na 2 walipigana wakatoliki, wasabato na waangalikana, vita 2 walipagana mataifa ya kikiristo. Machafuko yoyote yanayotokea nchi kiislam hivi sasa ukiangalia kuna mkono mkubwa wa nchi za magharibi. Siku wakijitambua mashariki ya kati na kuisoma vizuri Quran na kuilewa wataondoka na hayo
Unalo swala la ziada nikujibu?.

Hao akina Hittler hawakupigana kama Wakristo, na hata leo Marekani au Urusi hawapigani kama Wakristo, ni mataifa baina ya mataifa na haya yote aliyatabiri Yesu, hivyo hamna jipya, hata ujio wenu nyie wapinga Kristo mlitabiriwa na kwa kweli mnatenda haswa ilivyotajwa kwamba mtachinja Wakristo mkidhani mnamfurahisha "mungu" wenu.
Kurani haina jipya maana muarabu ameiandika juzi tu baada ya kukuta dini zingine, na yenyewe imejazwa chuki na ndio maana kuna haya maafa na maangamizi.
Okoka ndugu yangu, iokoe nafsi yako isiende jehanum.
 
Back
Top Bottom