- Thread starter
- #21
Katiba mpya sii kumuondoa mtawala madarakani? Atakubali?Ch
chawa umechelewa sana kugundua hilo. Tupiganie katiba mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba mpya sii kumuondoa mtawala madarakani? Atakubali?Ch
chawa umechelewa sana kugundua hilo. Tupiganie katiba mpya
Unapo ingia kwenye siasa akikisha kwanza unajitambua ..wengi mmeingia huko kuganga njaa binafsi wala hamna akili yoyote juu ya kile mnacho kitafuta kwa taifa ...ndipo hapo mambo ya siasa za kishabiki zinapoanza na kuzaa machawa na vibarakaHanga alikuwa chadema? Kambona alikuwa chadema?
Hanga, Kambona walikuwa hawajitambui? Lissu hajitambui?Unapo ingia kwenye siasa akikisha kwanza unajitambua ..wengi mmeingia huko kuganga njaa binafsi wala hamna akili yoyote juu ya kile mnacho kitafuta kwa taifa ...ndipo hapo mambo ya siasa za kishabiki zinapoanza na kuzaa machawa na vibaraka
Wengi hawalijui hili.Siasa inaamua maisha yako yaweje.
NdioWengi hawalijui hili.
Bila kusahau Aboud jumbe piaSoma historia ya kambona ref nzuri
Hitler alikuwa mkatoliki, wajapan waliouliwa na bomu la nyukilia na wasabato wa America , vita vya 1 na 2 walipigana wakatoliki, wasabato na waangalikana, vita 2 walipagana mataifa ya kikiristo. Machafuko yoyote yanayotokea nchi kiislam hivi sasa ukiangalia kuna mkono mkubwa wa nchi za magharibi. Siku wakijitambua mashariki ya kati na kuisoma vizuri Quran na kuilewa wataondoka na hayoUpo unaelekea pazuri, imesalia ufungue uzi kwamba umeokoka na kuacha kufuata imani inayowapeleka mabilioni ya watu jehanamu.
Jiulize hiyo imani ilibuniwa juzi miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, na imesababisha maafa makubwa duniani kwa mahubiri yake ya kichuki chuki.
Yesu alitabiri ujio wa hiyo imani kwamba waumini wake watachinja sana Wakristo, na watakuwa wakifanya hivyo wakidhani wanamfurahisha Mungu, tumeyashuhudia.
Hivyo aidha ushupaze shingo uende jehanamu ukiona au ukubali kuokolewa.
Unasubiri akubali? Huko Burkinafaso na Ivory Coast walikubali?Katiba mpya sii kumuondoa mtawala madarakani? Atakubali?
Kilitokea nini baada ya kutokubali? Si watu waliangamia? Sasa kwanini niangamie kwa kupiganie kwa ajili ya matumbo ya wengine?Unasubiri akubali? Huko Burkinafaso na Ivory Coast walikubali?
Kenya Walikubali?
Kijana wa Kiislam unakwama wapi?
Neno Dini halina shida yoyote labda amjui neno dini msingi wake ni nini ? Neno dini ndani yake limeundwa na mambo yafuatayo
Ni heri ungeacha mambo ya dini hpo ungekuwa umepiga hatua
Siasa ina wenyewe ( Sikumbuki hii kauli ilikuwa ya nani)Nimeamua kukaa pembeni kisiasa.
- Nakupelekea binadamu mmoja, kubuni silaha kali za kumwangamiza binadamu mwingine.Ndiyo.maana leo hii wakristo na waislamu wamekuwa washenzi kwa sababu ya MADHEHEBU ndiyo maana unaweza kushangaa kwanini waislamu wanashabikia vita vya Israel na Palestina sana wakati kuna wasudani wanachinjana wala hao waislamu awajali chochote ni kama hakuna kitu kibaya kinaendelea yote hayo yanaletwa na upumbavu wa madhehebu
Either kambonaSiasa ina wenyewe ( Sikumbuki hii kauli ilikuwa ya nani)
Uliwahi just hata mfagizi wa ofisi wa CCM, Chadema, ACT au NCCR?Baada ya kutafakari kwa kina .nimeamua kuacha kabisa na siasa.
1. Nimesikiliza na nimesoma historia ya siasa ktk vitabu na nimewaikiliza wanahistoria nimegundua madaraka matamu, kumuondoa mtu ktk madaraka mtu ni kazi kubwa sana na unahitaji kujitoa muhanga
2. Nimehundua pia unaweza kuwa chawa mkubwa wa siasa ktk chama tawala duniani mwisho ukaangukia papaya. Ref Kambona na walioshiriki harakati mbali mbali za kuzikomboa nchi kisiasa lkn mwisho wa siku maisha ya wakageuka
Nimeamua kukaa pembeni kisiasa.
Nimegundua ktk siasa kosa ndogo linawza kukupoteza kabisa kwa sababu alieshika madaraka anaona madaraka kwake matamu
Alieshika madaraka hamuogopi mungu ili kulinda madaraka yake. Kwanini nifikie huko?
Kuliko hivyoUliwahi just hata mfagizi wa ofisi wa CCM, Chadema, ACT au NCCR?
Pia ongezea, Gachagua ana njaa?Hanga, Kambona walikuwa hawajitambui? Lissu hajitambui?
Hitler alikuwa mkatoliki, wajapan waliouliwa na bomu la nyukilia na wasabato wa America , vita vya 1 na 2 walipigana wakatoliki, wasabato na waangalikana, vita 2 walipagana mataifa ya kikiristo. Machafuko yoyote yanayotokea nchi kiislam hivi sasa ukiangalia kuna mkono mkubwa wa nchi za magharibi. Siku wakijitambua mashariki ya kati na kuisoma vizuri Quran na kuilewa wataondoka na hayo
Unalo swala la ziada nikujibu?.