Nawe unakunywa d?Hii kauli hakuna mnywaji ambae hajawahi kuitoa akiwa na mning'inio. Huwa ni kauli ya asubuhi pale unapoona maisha magumu hayana maana ila subiri hangover itoke mchana au jioni kama mwenyewe hujasema ngoja nipate kamoja aisee
Shu we huna mpango wa kuacha?Hii kitu ngumu sana kuacha tena umetangaza bora ungeamua kuacha kimyakimya
Enzi ya ujana my dear. Saa hivi nimeingia ulevi wa kwaya mwenzioNawe unakunywa d?
ukiamua kuacha inawezekana. mimi nilikuwa natumia zaid ya 120k kila weekend afu mda wa kodi naenda kubembeleza landlord. Yaan pombe sio poa ukitaka tu kunywa unapata pesa.Hii kauli hakuna mnywaji ambae hajawahi kuitoa akiwa na mning'inio. Huwa ni kauli ya asubuhi pale unapoona maisha magumu hayana maana ila subiri hangover itoke mchana au jioni kama mwenyewe hujasema ngoja nipate kamoja aisee
Nawaza tuu Mshana jr. akipita hapaKama ulivyoamua kuanza na kuacha unaweza,watu wameacha uchawi ulio na muunganiko hadi kwenye roho sembuse pombe mkuu.
HONGERA KWA MAAMUZI HAYONimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
bado umeacha au ndo unarudi kidogo kidogoNimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
Hazard CFC kumbe hakuacha kuna kipindi alisema ameacha kabisa
Hapo kwenye... NISIE KIASI .. ndo pa kurekebishaNimekuwa mnywaji nisiye na kiasi, hivyo naona pombe siyo salama tena kwangu, hivyo kuanzia leo Jumatano tarehe 25 August 21 nimeamua kuacha pombe bye bye Safari lager
Hakuna kauli inayofirisi na kuacha watu wakiwa maskini kama hii.[emoji3][emoji3][emoji3]Tujinywee tu dear maisha ndio hayahaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@hazardcfc akiacha Pombe nafariki
Mie nime hokoka tayari mkuu wangu πππHoly Man tuokoke aisee.