Naachaje kuchepuka ?

Hapo kuna mawili tu
1.mke wako anajua nyendo zako yupo kimya kwasababu naye kuna sehemu anajipoozea hasira.na hili possibility yake ni kubwa zaidi
2.kama hajajua bado siku akijua ndo itakuwa mwisho wa hizo sifa zake nzuri.
 
Hapo kuna mawili tu
1.mke wako anajua nyendo zako yupo kimya kwasababu naye kuna sehemu anajipoozea hasira.na hili possibility yake ni kubwa zaidi
2.kama hajajua bado siku akijua ndo itakuwa mwisho wa hizo sifa zake nzuri.
Sihitaji prediction wala probability kama huna ushauri ni bora ukae kimya
 
Ukitaka kuacha hiyo tabia..subiri siku moja UFUMANIWE red handed,trust me kitakachokukuta Hata hutohitaji ushauri wa kuacha hiyo tabia yako.
 
Kila strong man deserves family pa1 na mapungufu yangu but nina haki ya kuwa na mke eventhough nahitaji tafakari

Firat sio haki hiyo ni choice...u can choose to have u can choose not to have
 

Hivi dini ina uhusiano gani na biological reactions za mwili wa mnyama who happens to be a human being?
 
Mkuu njia uliyotumia awali kwa miaka 3 ukafanikiwa kutokuchepuka itumie hiyohiyo sawa, ila ukishindwa bado mshirikishe mkeo atakushauri ucjal maana ninyi ni mwili mmoja..
Amshirikishe mkewe kwamba anachepuka sio?? Ili nae aanze kuchepuka?? Umeoa mkuu??
 
Dada wa kimasai, umeolewa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…