Naamini mshahara umeongezwa sema huwezi kuona kwa macho ya kawaida ni mpaka ufafanuzi utolewe

Naamini mshahara umeongezwa sema huwezi kuona kwa macho ya kawaida ni mpaka ufafanuzi utolewe

Mshahara unatosha Watumishi wa umma Wengi wavivu mama Huo mshahara unatosha.Asiyetaka aache kazi aje kitaaa Tupambane
 
Ila mtoa post umenivunja mbavu.Una maanisha hiyo nyongeza ni kitu ambacho ni micro mpaka huyo mtumishi hawezi ona?Kwa ufupi ni kwamba serikali hii inadharau sana watumishi wake ndio maana iliahidi kwamba itawapa atleast annual increment lakini hola.Na mama alipoahidi hivyo kwa zaidi ya wiki mbili TBC ilikuwa ni mapambio ya kumsifu kwa uamuzi wake kumbe alikuwa anawatania
 
Ni ujinga na upumbavu wa serikali ya CCM tangu nchi ipate uhuru hadi leo wameshindwa kuja na njia au mkakati wa kupunguza umasikini kwa watumishi hasa walimu

Lakini ni ujinga na upumbavu pia kwa CWT na TUCTA kushindwa kudai na kupigania maslahi bora unaoendana na hali halisi ya maisha ya sasa kwa watumishi hasa walimu
 
Back
Top Bottom