Ila mtoa post umenivunja mbavu.Una maanisha hiyo nyongeza ni kitu ambacho ni micro mpaka huyo mtumishi hawezi ona?Kwa ufupi ni kwamba serikali hii inadharau sana watumishi wake ndio maana iliahidi kwamba itawapa atleast annual increment lakini hola.Na mama alipoahidi hivyo kwa zaidi ya wiki mbili TBC ilikuwa ni mapambio ya kumsifu kwa uamuzi wake kumbe alikuwa anawatania