Agiza Express
Member
- Sep 26, 2022
- 52
- 119
Angeweza kutuumba kama robots lakini nahisi asingejivunia uumbaji wake lakini pia alituacha tuamue kwa hiari yetu tunachopenda kufanya ndio maana akatupa utambuzi wa mema na mabaya, yaani kwa lugha rahisi yeye sio dictator ila utavuna ulichopanda.Kama Mungu anapenda tumtii bila shuruti kwa nini alitupa uwezo wa kufanya mabaya na kutenda uovu ambao yeye unamchukiza?
Alishindwaje kutuumba tuwe tunafanya mema na mazuri tu kama atakavyo yeye??
Ana uwezo wa vyote kweli huyo Mungu??
it's said that kabla ya mtu kuumbwa mungu mwenyewe anakuwa anajua hatima ya kila mtu kuwa ni wa peponi au lah hata kabla hajaumbwa, si ndio?Mi naona adhabu ziko wazi ivo ni maamuzi yako kuchagua ukosee au ufanye yanayompendeza sababu ukifanya mazuri kuna zawadi na ukifanya mabaya kuna adhabu. Na pia kuna option ya kutubu sababu hakuna mkamilifu ila yeye tu.
So it's your choice and you must pay the price for your selection
Ukisema anajivunia hata kwa mabaya pia anajivunia coz they are all from withinA
Angeweza kutuumba kama robots lakini nahisi asingejivunia uumbaji wake lakini pia alituacha tuamue kwa hiari yetu tunachopenda kufanya ndio maana akatupa utambuzi wa mema na mabaya, yaani kwa lugha rahisi yeye sio dictator ila utavuna ulichopanda.
Nimewahi kusikia hivyo pia japo sina uhakikait's said that kabla ya mtu kuumbwa mungu mwenyewe anakuwa anajua hatima ya kila mtu kuwa ni wa peponi au lah hata kabla hajaumbwa, si ndio?
inatokana na sifa ya kujua kila kitu. So ukisema hauna uhakika that means huyo mungu huwa hajui kila kitu.Nimewahi kusikia hivyo pia japo sina uhakika
😂😂😂 duh labda, lakini sidhani kama anajivunia sababu amekupa uwezo wa kuchanganua mambo sio ufanye tu sababu unaweza kufanya.Ukisema anajivunia hata kwa mabaya pia anajivunia coz they are all from within
Point of correction, mi sio Mungu am trying to defend what I think I knowinatokana na sifa ya kujua kila kitu. So ukisema hauna uhakika that means huyo mungu huwa hajui kila kitu.
ungetupa refference hapa ingefaa zaidiSoma Bible yote
kwenye biblia na nahisi pia quran japo sina uhakika huko wametaja hiko kitu kuwa huyo mungu ni mjuaji wa yote hata kabla hayajatokeaPoint of correction, mi sio Mungu am trying to defend what I think I know
Mimi ndio sina uhakika, na siwezi kubali kitu ambacho sija experience au kuona mtu ka experience, ni maneno ya kusadikika.
Exactlykwenye biblia na nahisi pia quran japo sina uhakika huko wametaja hiko kitu kuwa huyo mungu ni mjuaji wa yote hata kabla hayajatokea
sasa si unaona kuwa mungu anakuwa anajua hatima yetu hata kama hatujaumbwa so hiyo hatima hauwezi kuichangeExactly
Sasa kwa nini hapendi wanaofanya mabaya?A
Angeweza kutuumba kama robots lakini nahisi asingejivunia uumbaji wake lakini pia alituacha tuamue kwa hiari yetu tunachopenda kufanya ndio maana akatupa utambuzi wa mema na mabaya, yaani kwa lugha rahisi yeye sio dictator ila utavuna ulichopanda.
Kina nani wanasema upinde wa mvua ni msamaha wa Mungu,... Na kina nani wanasema mvua inamwagika kutoka madirisha ya Mbinguni?Hatujui kwamba Mungu yupo. Kwa sababu zamani watu walisema upinde wa mvua Ni msamaha wa Mungu Ila Leo hii hata wewe unaweza tengeneza upinde wa mvua. Walisema mvua Ni maji yanayomwajika kutoka madirisha ya mbinguni. Lakini hata wewe ukipika unaweza una process ya condensation. In short kitu usichokijua ndo unampa Mungu. Inaitwa God of the Gaps. Na hizi gaps zinaendelewa kuwa filled kila siku na wanasayansi mwishowe utakosa pa kumficha huyo Mungu wako. Na jicho kuwa complex hainiambii kwamba Mungu Ni Allah na anataka nisali nikiangalia mji wa waarabu. Kusema Mungu yupo na Mungu Ni Allah au yahweh Ni vitu 26 tofauti.
Kila Imani inamungu wao waliijitengenezea wenyeweMkuu wahindu na wabudha wamekuepo hata kabla ya huyo ibrahim na walikua na dini zao au hujui mkuu???? Na unajuaje mungu aliumba wakati haukua nae umesimuliwa tu??????? UNATAKA KUMJUA MUNGU ILA KILA IMANI DUNIANI INA MUNGU WAKE NA NDIO MAANA TARATIBU ZA KUSALI ZIPO TOFAUTI.Mungu wa waislamu sio Mungu wa wakrsto na wayahudi na Mungu wa wahindu sio Mungu wa Wabudha.Mungu wa makabila yote ya kibantu sio Mungu wa dini za wakoloni wa kiarabu na kizungu waliovamia afrika.........!!!!!WEWE UNATAKA KUMJUA MUNGU YUPI MAANA KILA IMANI DUNIANI INASEMA MUNGU WAKE NI SUPER GOD?????
NAKAZIASasa kwa nini hapendi wanaofanya mabaya?
Na uwezo wa kuyaondoa hayo mabaya alikua nao,
Utambuzi wa sisi kujua mema na mabaya ni dhahiri kwamba Mungu alipanga tufanye yote mema na mabaya.
Kama hapendi sisi tufanye mabaya asinge tupa utambuzi na ufahamu wa kutenda mabaya.
Labda useme kwamba anapenda mema na mabaya..
Ndio anajua, lakini binafsi naamini kuna hatma zinabadilishwa kwa maombi.sasa si unaona kuwa mungu anakuwa anajua hatima yetu hata kama hatujaumbwa so hiyo hatima hauwezi kuichange
Okay, swali langu ni hili.... Mtu pamoja na designed systems zote zilizopo kwenye mwili wake kwa ufahamu wako, zina Designer au hazina?Nimekwambia designer wa vyote aliyeumba vyote kwa wakati mmoja Hayupo..
Ila kuna ma designer tofauti kwa wakati tofauti.
Ndio maana designer aliye gundua na kuumba Simu sie aliye gundua na kuunda Ndege au Meli...
hahahahah! Ukisema zinabadilika unamuondolea mungu hiyo sifa ya kujua kila kitu. Au hauamini kama kweli anajua kila kitu?Ndio anajua, lakini binafsi naamini kuna hatma zinabadilishwa kwa maombi.
Hapendi mabaya sio wanaofanya mabaya ndio maana tukitubu tunaamini tunasamehewa angekua hatupendi asingetusamehe na asingepatikana asiye na mabaya sababu hatuna ukamilifu ndio maana tumepewa nafasi ya kujutia mabaya na kutubu.Sasa kwa nini hapendi wanaofanya mabaya?
Na uwezo wa kuyaondoa hayo mabaya alikua nao,
Utambuzi wa sisi kujua mema na mabaya ni dhahiri kwamba Mungu alipanga tufanye yote mema na mabaya.
Kama hapendi sisi tufanye mabaya asinge tupa utambuzi na ufahamu wa kutenda mabaya.
Labda useme kwamba anapenda mema na mabaya..